naweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ruler za Pica naweza kuzipata wapi kwa Dar es Salaam?

    Habari wadau, Natafuta ruler za pica nimezunguka nimechoka sasa naomba msaada hz ruler unaweza kuagiza kutoka nje shida gharama sn adi ije ikufikie ni kama laki hivi nataka niitumie kwenye design.
  2. JamiiForums Tanzania Hiki Kipimo naweza kukipata Pharmacy?

    Eti wakuu hiki Kipimo cha HIV naweza kukipata kwenye Pharmacy shop?
  3. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa ajili ya safari ya kitalii Afrika

    Tafadhali naomba mchango wako wa mawazo! Nimekuwa nikitamani sana kuzitembelea baadhi ya nchi za Afrika ambazo bado sijafika. Ninatarajia kutimiza sehemu ya hiyo hiyo ndoto hapo baadaye mwaka huu. Ninatarajia kutembelea alau nchi nne, kama bajeti itaruhusu, nazo ni AFRIKA KUSINI, BOTSWANA...
  4. JamiiForums Tanzania Eti hapo naweza cheza game la ETS 2 bila kugandaganda

    Wataalamu nahitaji msaada wa utambuzi wa uwezo wa hiki kifaa kabla sijayakanyaga maana nataka kulipia
  5. JamiiForums Tanzania Naweza kutumia NS - 2 gear box oil?

    Wakuu Habari Hivi naweza kutumia CVT NS 2 kwenye Gear box ya nissani teana ambayo Recommended yake ni Matic J? Fundi mmoja ananiambia CVT NS 2 inaingia kwenye Gear box yoyote ya nissani na fundi mwingine anasema Gear Box ya Nissani inatakiwa kuwekwa Matic J oil Msaada tafadhari
  6. JamiiForums Tanzania Milioni 3 naweza kuanzisha biashara gani?

    Mtaji wa milioni 3 naweza kuanzisha biashara gani kwa mji wa Dodoma. Naombeni mawazo yenu wakuu.
  7. JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata shule yenye mahitaji maalum?

    Nipo Mbeya kuna mtoto wa ndugu yangu ana changamoto ya kuongea(bubu) nataka kufahamu shule ambayo inapokea watoto wa namna hii
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi naweza kupata Maziwa ya watoto wadogo ambayo ni Protein Free (hypoallergenic infant formula milk)

    Habari ya kazi Wakuu. Ndani ya mkoa wa Dar es salaam, maziwa hayo yasiwe ya Soya au Almond. Kwa kampuni yoyote ile inayozalisha maziwa ya watoto.
  9. JamiiForums Tanzania Naweza kupata gari la mizigo linalotoka Morogoro to Moshi.?

    Habari wazee, Nahitaji usafiri ijumaa ijayo nina vitu vichache(vitu vya ndani) vya kusafirisha kutoka Morogoro(mzumbe) kwenda Moshi(himo) siku ya ijumaa ya wiki ijayo ya tarehe 7 mwezi wa 7. Usafiri wa magari ya mizigo inayotoka mikoa yoyote ila inapita morogoro au hata kama gari linaanzia...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 2 nifanye biashara gani ili nipate faida?

    Milioni 2 naweza fanya biashara gani ambayo utanisaidia kupata pesa ya kula kila siku na akiba angalua 10000 kuweka? Mimi ni single mama ninaehitaji kujishughulisha ili niishi vizuri na mwanangu. ====== Michango wa mdau
  11. JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Wataalamu wa bank, je naweza kuweka deposit kiasi cha hela kama 10m halafu kila mwezi bank inanilipa riba? Na je watanilipa kiasi gani kila mwezi? Wakati huo hela yangu ipo tu bank?
  12. JamiiForums Tanzania Naweza nikamtibu mpenzi akaacha uongo?

    Huyu binti nampenda sana lakini anatabia ya kuongea uongo sanan kuna muda najipa imani kua ataacha lakini baada ya muda yanajirudia. Shida nyingine hata ukimuuliza ni mgumu ku admit kwamba amekosean anahisi kama yuko katika nafasi ya haki kuongea alichoongea. Nifanyeje? Moyoni nampenda ila...
  13. JamiiForums Tanzania Wapi naweza apple ipod?

    Wapi naweza kupata apple ipod mpya ya aina hii
  14. JamiiForums Tanzania Namna gani naweza kuomba pesa za Corporate Social Responsibility kwenye makampuni?

    Natamani kutuma maombi ya CSR yani corporate social responsibility kwenye makampuni yaliyo karibu yangu hata yaliyo mbali. Ila sijui nifanyeje ili maombi yangu yawafikie na wanizingatie Mwenye kufahamu naomba anisaidie ujanja nifanyeje? Na wanahitaji nini ? Kama nna idea ya project...
  15. JamiiForums Tanzania USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

    Natumaini wazima Naomba niwashirikishe hili jambo linanisumbua sana Miaka ya nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tulikuwa tunapendana sana,nilikuwa Niko chuo nae alikuwa anafnya kazi kwenye private sector tulivumiliana baadae nikamaliza nae akapata kazi serikalini tukaanza kuweka...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kulipia kufungiwa Umeme na TANESCO?

    Baba yangu amepewa control number alipe 320960 Ili aunganishiwe umeme. Nataka kumlipia kupitia Airtel money nielekezeni hatua za kufuata.
  17. JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kununua Dye ya kurudisha (refurbish) rangi za nguo?

    Dye ni unga au maji maji ambayo hutumika kubadili rangi, tuliyoizoea wengi ni ya nywele inaitwa picco, pia huwa kuna dye maalum kwajili ya nguo ambayo hutumika kurejesha rangi ya nguo hasa hizi jeans na cardets. Ni wapi naweza kuipata?
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kununua machine za kuchakata plastics?

    Habari wadau, Natafuta machine za kuchakata plastics kuwa flakes naweza kuzipata wapi kwa Kariakoo? Pet bottle flakes ceushing machine. Pet bottle label remover. Pet bottle neck ring remover. Pet bottle washing machine. Pet bottle dry machine. Pet bottle flakes compressor
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwa matokeo haya naweza kuwa lecturer?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi ni mwanafunzi mwaka wa pili chuo X degree ya ualimu( bachelor of science with education) semester ya kwanza nilipata GPA 3.5 semester ya pili 4.2 na semester ya tatu 3.2 lakini najua na ninauwezo wa kupata 3.6 kutokana na bado sjafanya field ( teaching...
  20. JamiiForums Tanzania Wana JF mashati haya naweza kupata duka lipi kwa Dar es Salaam?

    Bila shaka hamjambo wana Jf, nisiwachoshe nahitaji mashati kama haya niliyoambatanisha na hii thread kwa hapa Dar. Natanguliza shukurani zangu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…