ndoa

  1. Maoni binafsi: Namna/Jinsi wanawake wanavyosababisha wanaume wengi kuchepuka katika ndoa

    Wasalaam, Wana JF wote. Leo nina mada kidogo kuhusu suala la uchepukaji kwa wanaume hususani walioko katika ndoa kunakosababishwa na wanawake wenyewe. Nikiwa miongoni mwa wanaume walioko katika ndoa nimeonelea ni vema nikatoa maoni yangu kuhusu suala la wanaume wengi kuchepuka kwenye ndoa...
  2. Hili ni shambulio la moyo, ndoa imekuwa chungu

    Habari wakuu. Hiki kisa nimekikuta huko katika pita pita zangu mitandaoni. HILI LINAITWA SHAMBULIO LA MOYO Huyu ni mke wangu kabisa, nimefunga naye ndoa mwaka huu mwezi wa pili ila kufika mwezi wa 5 MUNGU alijaalia kupata ujauzito. Mwanzoni huyu mwanamke ilikuwa Kila alhamis lazima aombe...
  3. W

    Tabia za wanawake kutoka makabila mbali mbali kwenye vigezo vya utafutaji, wife material, pisi kali, maisha ya ndoa, mapishi, support, n.k

    N:B..Vipimo ni wastani / Average katika kundi kubwa, hatuangalii moja moja kwamba Kuna mzaramo flani ulimkuta hapendi ngoma, kuna wachaga uliwakuta nyumba flani hawapenda pesa, n.k. Pisi kali – Ni kweli nchi ina pisi kali kila kona lakini komesha ipo kwa Wanyaturu wa Singida, Wa iraqw tuliozoea...
  4. O

    Hii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!

    Hii wiki inatimia sasa mke wangu ananinyima tendo la ndoa na nikumuuliza sababu ananipiga na kuniongelea maneno makali as if mimi ni mtoto wake wa kumzaa sasa sijui nini kimemsibu mpaka najuta kwanini nimeoa hili kabila ni wababe wababe na majeuri sana aisee Kila nikirudi kwenye mishe mishe...
  5. C

    Umuhimu wa ndoa katika jamii ya kisasa

    Katika jamii ya kisasa, dhana ya ndoa imebadilika kwa kiasi kikubwa ikilinganishwa na zamani. Watu wengi sasa wanajiuliza kama ndoa bado ina umuhimu kama ilivyokuwa hapo awali. Katika makala hii, tutachunguza mabadiliko haya na umuhimu wa ndoa katika maisha ya watu wa sasa. 1. Ndoa Haina...
  6. Maisha ya wenye Ndoa wengi kwa Karne hii ni Ubaya Ubwela, tuwe Wakweli Ndoa nyingi ni Gereza la hiari kwa Wanaume

    Shalom, 90% ya ndoa nyingi ni fake, wanawake wengi huolewa kwa shida zao binafsi na kwa manufaa binafsi mfano kukosa kujihudumia kwa chakula, mavazi, kula vizuri, kulipa Kodi ya nyuma, familia duni hasa wazazi na ndugu tegemezi kibao, kuoana wivu hasa marafiki zao wakiolewa. Na wanawake kwa...
  7. Nimepata mtoto wa kiume usiku huu, baada ya kuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 7

    Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema. Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto. Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya...
  8. Vijana tulio kwenye ndoa tujifunze kusuluhisha ndoa zetu wenyewe

    Hakuna ndoa isiyo na mitihani na mikwaruzano. Kinachovunja ndoa nyingi ni mke au mume kuwa kispika cha kueleza changamoto za mwenzi wake kwa ndugu na jamaa bila kujali wakati sahihi wa kufanya hivyo. Akisahau hata huko anakokwenda kutafuta msaada nako huenda moto unawaka zaidi kuliko ndani ya...
  9. T

    Watu wameishi zaidi ya miaka 30 eti wanafunga ndoa Kesho? Wakristo naomba mnieleweshe

    Lakini nimestaajabu sana aisee eti watu wanafunga ndoa Kesho na hapo wamekaa bila kufunga ndoa na wamezaa watoto zaidi ya 4 sasa hlyo imenistaajabisha sana aisee kwahiyo kipindi hicho walikuwa wanazini. Na huyo mtu hakufunga ndoa na alikuwa muhubiri au katekista wa kanisa Fulani sasa hao watu...
  10. Hii ndoa itadumu kweli?Baba wa bibi harusi amruhusu mkwe wake kurudi saa nane usiku mbele ya waalikwa

    Niliwahi kuleta uzi humu kuwa ukitaka kujua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nenda harusini.. Leo nimeona clip mtandaoni baba anamwambia binti yake kuwa ole wake siku alete kesi kwake kuwa mumewe amerudi saa nane za usiku... ,akaendelea kudai kuwa hiyo ni kawaida sana kwa wanaume, Kichaa...
  11. Alichokipost mwanamke huyu ndio uhalisia wa wanawake wengi kwenye ndoa

    Ndio maana " Kataa ndoa & co" wanasema " ndoa ni utapeli"
  12. Mke wa mtu ananitesa

    Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa. Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo. Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka...
  13. Mshahara wa Dhambi; Nimepata ndoa lakini mtoto wangu akageuka mlemavu!

    Huyu kaka ni jirani yangu, wakati namaliza chuo ndiyo walihamia hapa karibu na kwetu wakiwa na nyumba kubwa kuliko sisi. Mwanzo mke wake alikuwa ni rafiki yangu na katika kuongea niligundua kuwa kumbe wana miaka 7 kwenye ndoa yao lakini hawana mtoto. Nikimuangalia kaka ana kazi nzuri TRA na...
  14. Sex mpaka ndoa

    Kama tayari ameshampa hamis, sheby bodaboda, frank, Qboy, dj dully, pius, zero iq, devi, jembe, chid, rasta, baba kevi, george, cadabra n.k iweje akuambie wewe sex mpaka ndoa.! No room to that nonsense condition like SEX MPAKA NDOA, the moment she broke her virginity she has lost right to that...
  15. Top ya 5 mikoa iliyongoza kutoa talaka/migogoro kwenye ndoa Tanzania

    1-Dar es salaam. 2-Pwani 3-Morogoro 4-Dodoma 5-Tanga Chanzo :jukwaa la ndoa Tz
  16. Hivi nyie kataa ndoa huwa mnamaanisha kutokuishi kabisa na mwanamke au mnamaanisha kutofunga ndoa kisheria (harusi )

    Aisee unajua tunaweza kuwa tunabishana kuhusu kataa ndoa sijui kubali ndoa lakini hatujui maana yake vizuri. Ndo maana Nina swali je mnachomaanisha ni hamtaki kabisa kuishi na mwanamke pika pakua au hamtaki tu kufunga ndoa kisheria. Kama ni kutoingia kisheria hata mimi nitawaunga mkono ila je...
  17. Dada wa kazi wanasaidia sana kulinda ndoa za watu hapa mjini else nyingi zingepumua icu

    House girls wote popote mlipo. Naomba niwape heshima zenu, na kwa KONGOLO KUBWAA. Haijalishi mateso na mapito mnayopitia, ila akili zenu kubwa za kutembea na wenye nyumba na kuwasitiri zinasaidia kupunguza talaka hapa mjini. Ni wachache watashindwa kutambua hili, ila binafsi kabla ya kulala...
  18. W

    Case closed: Wahehe na wabena waendelee kupewa maua yao kwa kujitahidi kuwa wavumilivu kwenye ndoa, kujishusha na kulea watoto vizuri

    ukiangalia Mhehe/ Mbena moja moja wapo pasua kichwa lakini ukiangalia kwa jicho la wastani / average wanawake wengi wahehe na wabena wanapoingia kwenye ndoa huwa ni loyal, ride or die, wavumilivu, humheshimu mwanaume kwa hiari, hawana tamaa ya mali, n.k. Nina katabia kabovu sana ka kupenda...
  19. U

    Tabora: BAKWATA wamng’oa sheikh anayedaiwa kufungisha ndoa mara mbili

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Tabora. Katika hali isiyo ya kawaida, Baraza Kuu la Waislamu (Bakwata) katika Kata ya Mtendeni, Manispaa ya Tabora, limeazimia kumuondoa katika nafasi yake, sheikh wa kata hiyo, Bakari Sikonge kwa madai ya kufungisha ndoa mara mbili pamoja...
  20. TAKWIMU ZA NDOA TANZANIA

    Asilimia 51.4 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi Tanzania wameoa au kuolewa na asilimia 5.5 wanaishi pamoja. Sensa 2022.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…