Siku ya ijumaa nilikuwa napiga misele ya mtaa kwa mtaa, baada ya kutembea umbali mrefu kiasi, nikakutana na warembo wawili wamesimama wanabadilishana mawazo; walikuwa wamevaa suruali pamoja na vitopu.
Zile suruali walizovaa, ziliwachora vizuri maumbo yao. Kimoyo moyo, nafsi yangu ikatokea...