news

  1. Puma yetu

    Singida: Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Nicholas Andrea Gui auawa kwa kukatwa mapanga

    Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Jimbo la Singida Magharibi ameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga kwenye mashamba yake. Amepatikana akiwa amefariki. Nimepata taarifa wakati huu nikitoka kwenye Mkutano wa Kampeni Kijiji cha Mayaha, Kata ya Minyughe. Nimewasiliana na OCD Wilaya ya...
  2. U

    Jackline Mengi afunguka na kusema hajabadili wala kuhamisha kitu chochote cha Marehemu mumewe

    Amesema bado anamkumbuka sana Mumewe mpendwa na hajawahi Kuhamisha au kubadili kitu chochote Nyumbani kwa Marehemu Mumewe Mpendwa
  3. Hadrianus

    Mechi ya Simba ya Yanga yasogezwa mbele hadi Novemba 7

    Soka letu ni la ajabu sana
  4. Cannabis

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe apata ajali Mkoani Kigoma, asafirishwa kwa ndege kwenda Dar

    Kiongozi wa chama ndugu Zitto Kabwe amepata ajali mida hii huko Kigoma kusini akiwa na watu wengine wanne jumla watu 5 wote wazima japo kiongozi ana majeraha anapelekwa hospitali habari zaidi kufuata baadaye. ====== Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe amepata ajali...
  5. Nyendo

    Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
  6. M

    Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

    KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais. Wajumbe 15...
  7. BAK

    Baada ya kukutwa na Corona, Rais Donald Trump afikishwa Hospitali kwa Helikopta

    Rais Donald Trump amefikishwa Hospitali ya Jeshi baada ya kupata maambukizi ya COVID19 Kwa mujibu wa Daktari wake Sean Conley, Rais huyo amepewa kingamwili ya majaribio na alikuwa na uchovu lakini yupo katika hali nzuri White House imesema Rais Trump atakuwa Hospitali kwa siku kadhaa. Pia...
  8. M-mbabe

    Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maalim Seif ameyasema hayo saa chache...
  9. Geza Ulole

    Museveni visit to Chato

    MY TAKE: 2 days after signing a Host Agreement, Museveni is paying JPM a visit in Chato. Waiting to see if Uhuru will invite himself this time to Chato and offer a word of an apology to JPM as far as Kenya's COVID19 harsh treatment towards Tanzanians is concerned!
  10. Geza Ulole

    Total yafikia makubaliano na Uganda, yakaribia kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kupitia Tanzania

    Uganda na kampuni ya Total ya ufaransa zimefikia makubaliano ambayo yanaifanya kampuni hiyo ya mafuta na washirika wake kukaribia kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kwenda nchi ya jirani ya Tanzania, kampuni hiyo ilisema Ijumaa. Uganda iligundua hifadhi ya mafuta miaka 14 iliyopita lakini...
  11. Cannabis

    Hospitali ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya inaungua moto

    Hospitali ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya inaungua moto muda huu. Chanzo bado hakijafahamika. Waliopo karibu na eneo watupatie taarifa zaidi. Chanzo: EATV
  12. A

    Habari Leo na Daily News ni magazeti binafsi ya CCM?

    Leo tuwapumzishe TBC kidogo. Nimekua nikifuatilia mwenendo wa magazeti ya serikali na nimesikitishwa na upendeleo wa wazi unaofanywa. Kwa msiojua kisheria, Mhariri mkuu (chief editor) wa magazeti ya serikali ni Rais wa Tanzania. Kwa hili, hutakiwi kushangaa kuona habari za kusifu serikali kila...
  13. MK254

    Citizen TV’s Victoria Rubadiri wins BBC World News Komla Dumor award

    Citizen TV’s Victoria Rubadiri wins BBC World News Komla Dumor award Citizen TV news anchor Victoria Rubadiri has been announced as the winner of the 2020 British Broadcasting Corporation (BBC) News Komla Dumor award. The win makes Ms Rubadiri the second Kenyan to win the award after her...
  14. BAK

    Chadwick Boseman, nyota wa filamu ya 'Black Panther' amefariki dunia kwa kansa

    ========= Jordan Strauss/Invision/AP Chadwick Boseman, star of “Black Panther,” died on Friday after a four year battle with colon cancer, his rep confirmed to Variety. He was 43. Before he was cast as the Marvel Studios superhero, Boseman’s career first exploded with his portrayals of Black...
  15. MAHANJU

    Uchaguzi 2020 Mabomu ya machozi yarindima Iramba Magharibi

    Mabomu ya machozi yanarindima wakati huu jimbo La Iramba Magharibi mkoani Singida ambapo Mgombea ubunge jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Jesca Kishoa inasemekana amekamatwa na kufungiwa ofisi za msimamizi wa uchaguzi. Chanzo cha mabomu hayo kinadaiwa kuwa ni vurugu zilizotokea baada ya kutokea...
  16. Nkosi Sekeleli

    Uchaguzi 2020 Rushwa ilivokithiri Kura za maoni za CCM Jimbo la Kalenga

    Tarehe 21 / 7 / 2020 Ulifanyika uchaguzi wa kura za maoni kupata mgombea atakayepeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 Jimbo la Kalenga mkoani Iringa. Katika hali isiyotarajiwa RUSHWA ilikithiri sana kiasi cha wajumbe kupewa pesa eneo la uchaguzi kilipo...
  17. M

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania. Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
  18. Nyani Ngabu

    Ripoti ya Sky News kuhusu Magufuli na COVID-19

    Hiki ni kipande cha ripoti ya Sky News, moja ya shirika la habari la binafsi huko Uingereza. Ni kipande kilichorushwa tarehe 8 mwezi Juni mwaka huu. Ni kipande kinachozungumzia jinsi ambavyo Rais Magufuli na serikali yake ilivyoamua kukabiliana na huo ugonjwa wa Coronavirus. Ni karibu miezi...
  19. Replica

    James Murdoch ajiuzulu news corp, wamiliki wa Wall Street Journal na New York Post

    Aliyekuwa CEO wa 21st century Fox, James Murdoch amejiuzulu kwenye bodi ya News Corp ambayo ni kampuni mama ya jarida maarufu la Wall street. James ameelezea kutokubaliana na maudhui yalichapishwa na vyombo vya kampuni hio kama sababu ya kuachia ngazi ambayo amehudumu kwenye bodi tangu 2013...
  20. BAK

    Serikali yazuia viatu virefu, kucha ndefu ofisini

    SERIKALI imetoa Mwongozo wa Mavazi kwa Watumishi wa Umma, ulioanza kutumika Julai mwaka huu ili kuboresha unadhifu. Katika mwongozo huo, Serikali imeonya kuhusu mtindo wa sasa kwa baadhi ya watumishi kuwa na kucha ndefu au kukata nywele mtindo wa ‘rafu dread’ zenye rangi. Kwa mujibu wa taarifa...
Back
Top Bottom