Wakuu, Mamlaka ya NIDA imeorodhesha namba hizi kwaajili ya mawasiliano kwa sisi wateja wao wenye changamoto mbali mbali kutokana URASIMU wao;
0752 000058, 0677 146667, 0777 740008, na 0735 201020.
Jambo la kushangaza na KUUDHI, namba hizo kila ukipiga simu HAZIPOKELEWI wala kujibiwa chochote...