NMB Bank Nepal is a commercial bank in Nepal with headquarters in Kathmandu. The bank is licensed by central bank of Nepal, the Nepal Rastra Bank and has 163 branches across the nation providing retail and commercial banking services.
Recently, it acquired Om Development Bank.
The bank's shares are publicly traded in the Nepal Stock Exchange. The Bank has a joint venture agreement with Netherlands Development Finance Company (FMO) a Dutch development bank which holds 17% of the bank's shares and is the largest shareholder of the Bank.
Hawa scamers sasa wamezidi.
Asubuhi hii napata ujumbe toka namba ambayo imekuja na logo name ya NMB na sina akaunt huko. Hii scam imekaaje wadau!?
Hawa watu kweli ni piracy programmers.👇
Wakuu (wahusika) habari ya jioni.
Samahani kwa usumbufu, lakini nimekua nikiifuatilia sana hii kitu NMB SANDBOX API huduma ya NMB Bank kwa ajili ya staturps/computer developers ambapo wanaweza kuitumia kwenye mifumo yao wanayoi develop ku-utilize NMB financial services.
Kwakweli imekua...
Mimi nikiwa mfanyakazi wa Taasisi hii tangu kipindi ikiwa NBC Bank nasikitishwa sana na yanayoendelea humu ndani, Kwa kuwa haya mambo tumekuwa tukishauri kwa nyakati tofauti na kupuuzwa nimeona ni vyema niyalete humu ili wadau wote wajue yanayoendelea na Uongozi wa Benki Uweze kutupatia majibu...
Wadau poleni na majukumu nilikuwa naomba kuuliza jinsi ya kunua hisa za NMB au CRDB ni mpaka uwende DSE.
Kingine je faida za hizo hisa zake kwa aliyejiunga zikoje naomba mwenye uzoefu tafazali maana napenda sana uwekezaji nimevutiwa na platform mbali mbali nilizokuwa napitia nimeziona pia...
Hello wadau,naombeni msaada kidogo,huwa ninaomba ajira za nmb bank kupitia site yao https://careers.nmbbank.co.tz/ lakini cha kushangaza sijawahi kuitwa hata katika interview au hata kuambiwa maombi yako yamekatatliwa yaani kimya tu.
Naombeni msaada hivi kuomba ajira zao unataikiwa upitie njia...
NMB wanafanya makato ya ajabu sana tena wanafanya mara mbili mbili. Kwa transaction moja. Nilienda kurepoti tatizo hili wakaniambia niandike barua watarudisha lakin hawakurudisha na ndio kwanza naona wanaendelea kufanya makato transaction moja mara tatu.
Na sasaivi nimeona wameongeza kitu...
Hili tawi nimekuwa nalitumia kutokana na urahisi wa shughuli zangu ila kwa kweli lina huduma mbovu
Kuna madirisha ya teller zaidi ya 6 ila kila siku unakuta yupo mmoja wakizidi wawili
wakati Upande wa customer care unakuta wamejaa wakutosha
Huduma za tawi hili kama za wakala tu
Ni swala la muda muda tu , watu wengi wataachishwa kazi kwenye makampuni makubwa, kutokana na kukua kwa teknolojia.
Kuna robot anaye-trend huku mtandaoni , anaitwa ChatGPT. Huyu robot anauwezo wa kukujibu swali lolote kwa sekunde 1.
Tukija kwenye swala la customer care wetu, mko wengi sana na...
Wapendwa Salaam,
NMB Chalinze branch kumejawa na wafanyakazi wenye kiburi na majivuno hasa kwenye idara ya mikopo jambo ambalo linasababisha kero kubwa kwa wateja,
Hii branch unapoanza ku process mkopo utacheleweshwa kiasi ambacho utaona kabisa ni kama wanakuomba rushwa kiaina.Hizo nenda rudi...
Wakuu kuna mtu aliye fanikiwa kuapply hizi kazi zilizotangazwa na Benki ya Nmb maana kwangu naona portal yao imegoma kufunguka na muda ndio unaelekea kuisha.
Watumishi wa serikali wale ambao mishahara inapitia bank ya CRDB kuanzia saa tano salary imesoma ila wale wa NMB mpaka Sasa hakuna jipya
Maswali Kuna Nini nyuma ya haya mambo zamani CRDB mtumishi akiomba loan walikuwa hawana masharti ya mshahara upitie bank yao ila Sasa hivi CRDB hawatoi loan...
Habari wadau, ninahitaji mashine hizo za Wakala (CRDB na NMB) kwa aliyenazo zote au mojawapo na amesimama kutumia tafadhali tuongee biashara.
Location: Dodoma
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amesema NMB wamemuahidi akifanya vizuri watafuta mkopo(Possibly ni mkopo wa Mkoa). Amesema hayo katika kilele cha mbio za mwenge na kumbukizi ya kifo cha Mwl Julias Nyerere.
Hata hivyo, hajasema kufanya vizuri kwa namna gani, kama ni kiutendaji au...
Nikiwa mdau wa benki hii natoa pongezi za dhati kwa Uongozi wa benki Dr. Edwin Mhede - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi na Prof. Ruth Zaipuna (Mrs)- Mkurugenzi Mtendaji kwa kitendo cha kuyapokea maoni na ushauri na hatimaye kufanikisha kumwadabisha Lilian Komwihangiro (Advocate) aliyekuwa...
Summary,
SHAKA ASHIRIKI MBIO ZA NMB
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi tarehe 01 Oktoba, 2022 amekuwa sehemu ya mamia ya washiriki katika mbio za NMB zilizofanyika viwanja vya Leaders Kinondoni, Dar es Salaam.
Kauli mbiu katika mbio...
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Polisi Mkoa, Janeth Magomi, Kilipuzi hicho kilipatikana kwenye chumba maalum kinachotumiwa na wateja wa Fedha Nyingi (Bulk) na mtuhumiwa mkuu amekamatwa
Kamanda Magomi amesema mkoba uliokutwa na kilipuzi hicho ulisafirishwa hadi Kambarage Police Barracks...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.