Hello wadau,naombeni msaada kidogo,huwa ninaomba ajira za nmb bank kupitia site yao https://careers.nmbbank.co.tz/ lakini cha kushangaza sijawahi kuitwa hata katika interview au hata kuambiwa maombi yako yamekatatliwa yaani kimya tu.
Naombeni msaada hivi kuomba ajira zao unataikiwa upitie njia...