Mapenzi ni kitu ambacho kwa asilimia kubwa kinatawala katika nafsi ya mwanadamu. Amini usiamini kubali ukatae mapenzi yana thamani sawa na uhai wako.
Mimi ninapokuwa niko free napenda kusikiliza nyimbo zifuatazo kwa utulivu na kwa hisia nzito nikitafakari mengi juu ya wapendwa wanaonipa amani...