MAMA' unakimbiza mpaka basi, kwa sisi watazamaji tuoangalia mwendo wako tunaamini ushindi upo, mwalimu wako alikufunza vema, usisahau kuchungulia saa yako ili ujue pa kuongeza na pa kupunguza, lakini katika mbio hizo shikilia kijiti chako sawa sawa, usije ukafika karibu na mwisho kijiti...