"Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania..."
Ningetamani kuimba hata mwisho lakini wengi tunaufahamu na tumewahi imba. Ila nilikisudia tuvute taswira na kuyatafakari maneno ya wimbo huu...