ondoa

Jean Chrisostome Mekongo Ondoa (born 21 March 1983 in Douala, Cameroon) is a Cameroonian footballer.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia, Ondoa RC Tabora na DC Nzega, Hawajitambui

    Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao. Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC wa Nzega ameamuru mkuu wa Chuo Cha Madini Nzega awekwe ndani kwa sababu alishindwa kumjibu mkuu wa...
  2. W

    Funga au Ondoa Programu Tumizi (App) usizotumia au zilizopitwa na wakati ili kuimarisha usalama na kulinda taarifa zako Mitandaoni

    Jinsi ya kufuta Programu Usizotumia au zilizopitwa na wakati 1. Programu Endeshi Android: Fungua Google Play Store > Upande wa Juu Kulia, Bofya alama ya ‘Profile’ > Kisha Bofya ‘Manage App & Devices > Bofya ‘Manage’ > Changua ‘App’ unayotaka kuondoa > Bofya ‘Unistall’ 2. Programu Endeshi - iOS...
  3. T

    Tusipoondoa fikra za Ukada na Uchama kesho ya Tanzania itakuwa ngumu

    Huu ni ukweli usio pingika Hayati baba wa Taifa la Tanzania Mwl Nyerere alikuwa na ndoto japo ndoto hiyo aliiweka katika vipindi tofauti tofauti. Aliwaza kutawala Maisha ila akasoma alama za nyakati akaona itakuwa makosa makubwa sana na uwenda alikumbuka Habari za rafiki yake Kambona na wengine...
  4. PC yako inahitaji nafasi ya kupumua, ondoa makorokoro! kwa wale tulio na utitiri wa videos, hii ndiyo njia nayotumia kuzifuta chapchap na kuzihakiki

    Unaweza kuwa na lundo la videos ambazo huwezi kuja kuziangalia tena, huwa ni sawa na makorokoro, Pc ama hata simu yako ni sawa na chumba, ni muhimu iwe na nafasi ya kupumua, toa makorokoro hayo chini ya uvungu ili kuwe na sehemu ya kupumua na kuwe na urahisi wa kuperuzi karibu kusoma post za...
  5. Maoni kwa mtaala mpya wa elimu: badala ya somo la dini ondoa iwepo falsafa

    Katika pitiapitia yangu mitandaoni nimeona mapendekezo ya maboresho ya mtaala wa elimu. Tumekuwa tukilialia kuhusu oooh, mfumo wa elimu/mtaala unatufundisha kukariri sana. Mara haufundishi watu kujiajiri. Mambo mengi tu. Je katika mtaala mpya tumeweka jambo lipi la kuwafundisha hawa watoto...
  6. Kwa wale wanaoamka wakiwa na mikwaruzo, ondoa shaka, usipaniki. Nami nishawahi kupata hii hali na huu ndio mrejesho wangu

    Mara kadhaa nimeona hili tatizo watu wakiliibua na hata humu ni juzi juzi kuna mtu kaanzisha uzi, nimeona ni vema nilete experience yangu. Mimi hali ishawahi kunipata, dah we acha tu, nikafikiria mbali kwamba natembelewa na wachawi, nilipaniki sanaaaaa!! nilianza kulala saa tisa au kumi natumia...
  7. M

    Rais Samia Ondoa hiki kikokotoo kinawaumiza wastaafu

    Mheshimiwa Rais. Nakuandikia waraka maalum juu ya hali ya mfanyakazi, hususan anayestaafu. Nataka nikueleze kuwa, hiki kikotowo ulichokiweka hakina masilahi kwa mfanyakazi anayestaafu. Kiufupi ni dhuluma ya wazi. Hali ya maisha imekuwa ngumu, gharama za maisha zinazidi kupanda. Kiufupi , hii...
  8. R

    Katibu Mkuu Kiongozi, ondoa wizi unaofanywa kupitia malipo ya cash kwa watumishi na wazabuni kupitia OC, fedha zilipwe kwenye akaunti

    Moja ya njia unayotumiwa na waalifu Duniani Kwa sasa nikuzichungulia fedha zinazotolewa na serikali au taasisi bila kulipwa kwenye akaunti husika. Kwa nchi nyingi za Afrika malipo ya fedha nyingi za kuendesha Ofisi yamewekwa kwenye safari na vikao; wakati mwingine mataifa corrupt ulazimisha hata...
  9. Operesheni ondoa wavamizi katika Bonde la Wami/Ruvu

    OPERESHENI ONDOA WAVAMIZI KATIKA BONDE LA WAMI/RUVU imeanza ambapo Wafugaji wanaodaiwa kuwa ni wavamizi wamekutwa na ng’ombe zaidi ya 400 kwa siku ya leo tarehe 14-10-2022. Wameondolewa katika Kijiji cha MSONGE ambapo waliweka KAMBI, pembezoni mwa Mto Ruvu. Askari kadhaa wakiwa na silaha za...
  10. SoC02 Jinsi lugha ya Kiswahili itakavyoondoa umasikini Afrika

    Hivi kweli Afrika ni masikini? Na kama ni kweli Afrika ni masikini kwanini Afrika ni masikini? Hili ni swali ambalo waafrika wengi na watanzania wamekuwa wakijiuliza, lakini je kwanza tujiulize ni kweli Afrika ni masikini? Licha ya bara la Afrika kuwa na utajiri mwingi wa rasilimali na amali...
  11. Mkuu wa kituo cha Himo ondoa huyu askari mwenye nyota moja na trafiki walipo barabara ya Marangu karibu na mwanzo wa katani

    Ni sikitiko na masikitiko makubwa askari ambaye ana nyota moja yupo hapo barabarani akiwa amevalia kiraia na trafiki mmoja aliyevalia sare za kitrafiki, wanakamata magari yote yanayotoka Marangu Mwika, pamoja njia panda. Trafiki anasimamisha gari, hakagui gari, anachukua namba na leseni za...
  12. Ushauri kwa Rais: Shusha mishahara ya wanasiasa na ondoa posho zao peleka kwenye mafuta uikwepe laana ya Magufuli

    Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha! Mmekopa kushusha bei ya mafuta Ili bidhaa zishuke lakini wapi! Mmemnanga marehemu Sana lakini wapi, Mmetoa ahadi za uongo Napo pia wapi!!bila bila!!Leo nimeulizia gunia la mahindi,bati,simenti na sukari nikasema Hadi januari lazima mchutame...
  13. Mwisho missed call Tatu halafu Ondoa dhana Mbaya

    Nimependelea kuandika mada hii kutokana na baadhi yetu kuteswa na mapenzi kiasi kwamba tunasahau kuna mambo mengi muhimu Sana ya kufanya katika hii dunia. Mume wako au mke wako kutopokea Simu si tatizo,au kutopatikana hewani Kwa kipindi flani si tatizo Bali tatizo ni mtazamo wako juu ya...
  14. Tupeana updates za kuhama kwa Wamachinga

    Hebu tupeane update za zoezi la kuhama kwa wamachinga eneo ulipo. Mimi nimepita pale UHASIBU kutokea Kigamboni, nimekuta Wamachinga woote wameitikia wito wa kuhama, wapo busy wanabomoa vibanda vyao
  15. IGP Simon Siro, ondoa ACP Ramadhani Kingai mrudishe HQ

    Huu ni ushauri wangu mfupi tu kwako IGP, huyu bwana atakuharibia kazi yako. Kama kweli inavyotajwa na Mashahidi alichukua shilingi 260,000 za mtuhumiwa Adamoo, ingawa huu ni ushahidi lakini tayari imeshamtia doa na hataaminika popote. Arudishe pesa za watu, hata akizikana lakini tayari...
  16. E

    Operesheni Ondoa CCM 2025 inanze sasa

    Ndugu zangu wapinzani nawaomba tuweke itikadi zetu mfukoni na tuendeshe Operesheni Ondoa CCM 2025. Katika operesheni hii siyo mbumbumbu kuzunguka wakiwatangazia watu ondoa ccm 2025 bali ni kwetu sisi kutazama ili tuwaondoe hawa tunahitaji kufanya nini? mkakati uko hivi 1. Tutazame makundi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…