Chalamila Ondoa ICD Mjini kama wewe Mwanaume. Acha kuonea Madereva

Chalamila Ondoa ICD Mjini kama wewe Mwanaume. Acha kuonea Madereva

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416

Dereva akimchana live Chalamila

MY TAKE
Chalamila kaagiza Malori yote yanayo egesha kando ya barabara yakamatwe.

Lakini ICD zote zipo kando ya barabara na hazina Parking.

Maseva 50 wanaweza kukutana wote kwenye ICD ili washshe au wapakie. Unategemea nini kitatokea.

Mfano MOFAT saaa hivi kanunua mabasi ya mwendo kasi na rais ndo aliallikwa kuyazindua. Unadhani utamwambia nini kuhusu ICD zake mjini?

Chalamila mweenyewe ana Malori yanapark barabarani.. Labda anapiga biti ili isionekane katumia cheo kujinufaisha. Malori yake Polisi hawayapigi mkono hata kama Bovu vipi. Suluhisho ni Makontena yote ya ICD kwenda kushusha Kwala.

Kwala Magufuli aliisimamia na malori yaliingia. Lakini tangu huyu Mzanzibari aingie, Kwala pameota nyasi huku pakiwa na miundombinu
 
Hana jeuri hiyo yeye anawabana madereva tu
Wamiliki wa icd hana jeuri ya kuwagusa
Mbona ile icd ya wale gsm mbagala ina sabababisha foleni ushawahi sikia akizungumzia
Mizigo yote ya transit ilitakiwa kupelekwa kwala

Ova
 
Sasa hivi barabara ya Kuelekea Mwembeyanga kutokea Mandela Road haiingiliki tena ikifika saa tisa alasiri.

Buza hali ni hiyo hiyo.

Hata ikitokea tatizo la moto gari la zima moto haliwezi kupita. Yote sababu ya uwepo wa ICD katika eneo la makazi ya raia.

Njia ya Banana Kivule walipovunjiwa watu nyumba zao kwa madai ni eneo la Uwanja wa Ndege, tayari kumeshaanza kujengwa ICD na baadhi tayari zishaanza kazi, kumaanisha foleni zaidi kwa wakazi wa huko.

Samia na serikali yake ni kama waliamua kuwa mwenye pesa atafanya atakalo.

Ikiwa kweli hizi ICD zinaweza jengwa kiholela, mbona hazijengwi Oysterbay na Masaki wanapoishi wao, wanaenda ku target kwa wananchi wa hali ya chini?
 
Back
Top Bottom