ICDs ni za wenye nchi wanaoweza kumuondoa hapo wakati wowote.
Tupo tunasubiri hapa tuone cartels sasa na muone tulivyoambiwa wahuni wako kwenye usukani.
ICDs ni za wenye nchi wanaoweza kumuondoa hapo wakati wowote.
Kama RC kweli akaiondoe ile ya iliyoanzishwa mbagala eneo la jeshiDereva kaongea point nyingi sana hapo wao hakuna kitu wanajua.
Ameongea sana lakini nimechukizwa na kumwamkia huyo mtu wanini wakati hawa ndio wauaji wenyewe?View attachment 3652474
Dereva akimchana live Chalamila
MY TAKE
Chalamila kaagiza Malori yote yanayo egesha kando ya barabara yakamatwe.
Lakini ICD zote zipo kando ya barabara na hazina Parking.
Maseva 50 wanaweza kukutana wote kwenye ICD ili washshe au wapakie. Unategemea nini kitatokea.
Mfano MOFAT saaa hivi kanunua mabasi ya mwendo kasi na rais ndo aliallikwa kuyazindua. Unadhani utamwambia nini kuhusu ICD zake mjini?
Chalamila mweenyewe ana Malori yanapark barabarani.. Labda anapiga biti ili isionekane katumia cheo kujinufaisha. Malori yake Polisi hawayapigi mkono hata kama Bovu vipi. Suluhisho ni Makontena yote ya ICD kwenda kushusha Kwala.
Kwala Magufuli aliisimamia na malori yaliingia. Lakini tangu huyu Mzanzibari aingie, Kwala pameota nyasi huku pakiwa na miundombinu
Kama RC kweli akaiondoe ile ya iliyoanzishwa mbagala eneo la jeshi
Ova
Hakuna wa kuwagusa haoHapa vipi , ?
Mnaweza kumgusa huyu ambaye ndio kila mtu anazunguka kutomtaja kwa kiasi kikubwa anachangia mkwamo huu ?
Tunawasubiri, Gen Z wanasema "Niko palee.. enzi zetu humu tulisema "Kumkoma nyani giladi'.
View attachment 3652608
Hakuna wa kuwagusa hao
Ova
Wahuni bhana eneo la jeshi wao wanachukua % wakati hapo hapo wapo busy kuwaambia raia msipige picha hapa ni marufuku..Kama RC kweli akaiondoe ile ya iliyoanzishwa mbagala eneo la jeshi
Ova
Rc hawezi kupazungumzia hapo 😄Wahuni bhana eneo la jeshi wao wanachukua % wakati hapo hapo wapo busy kuwaambia raia msipige picha hapa ni marufuku..
Buza ya Mama Kibonge? Njia ya Mashine ya maji aisee miaka inakimbia sana, zamani kule tuliwinda ndege kuangua korosho,buza ndo zimejaaa balaa
yaan anatibu effects badala ya chanzo
Pale mpaka siku ajali itokee ndiyo watu watastuka, wanabana barabara kushoto na kulia,Kigamboni mikadi washasogea napo mpk mwaka uishe kitaumana
Hivi kwani Hizi ICD zonapata faida gani kubwa transit kuanzia Dar badala ya Kwala au popote nje ya Dar? Ni kukwepa gharama za Usafiri tu wa bandarini to Kwala au Kuna mengine? Maana binafsi hata kibiashara kuchukulia Kwala kwangu inakuwa na faida nyingi.Hana jeuri hiyo yeye anawabana madereva tu
Wamiliki wa icd hana jeuri ya kuwagusa
Mbona ile icd ya wale gsm mbagala ina sabababisha foleni ushawahi sikia akizungumzia
Mizigo yote ya transit ilitakiwa kupelekwa kwala
Ova
Acha tuu mzee, na road ilivyo nyembamba sasa, na hata parking hawana kutwa kutujazia barabara ni changamoto mnoPale mpaka siku ajali itokee ndiyo watu watastuka, wanabana barabara kushoto na kulia,
Aisee hatuna mipango kabisa, bora wangeweka kiwanda pale kuliko ICD