Makala kutoka Dawati la Habari polisi Kilimanjaro
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeendelea kuimarisha uhusiano na wananchi kupitia kampeni ya Ongea na Kamanda, inayolenga kusikiliza maoni, changamoto na kero za wananchi, kuzitafutia ufumbuzi kwa mujibu wa sheria na kuimarisha...
Kutoka Dawati la Habari polisi Kilimanjaro
Wananchi wapatao 300 wa Kata ya Manda na maeneo ya Tarafa ya Mengwe, Wilaya ya Rombo, wamepata elimu kuhusu umuhimu wa lishe bora, matumizi ya vyakula vya asili, uzalendo na wajibu wa kila mwananchi katika kulinda amani na usalama wa nchi.
Elimu hiyo...
Kutoka Dawati la Habari Polisi Kilimanjaro
Wananchi wa Kijiji cha Chekimaji, Kata ya Masama Rundugai, Wilaya ya Hai, wameibua changamoto mbalimbali zinazohusu migogoro kati ya wakulima na wafugaji, matumizi ya dawa za kulevya na vilevi haramu, pamoja na uhalifu, huku wakiiomba Serikali na...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Afande SACP Simon Maigwa, Tar 20/10/2026 amezindua rasmi Kampeni ya "ONGEA NA KAMANDA".
Kampeni hii inalenga kuwapa fursa wananchi wote wa Mkoa wa Kilimanjaro kuwasiliana moja kwa moja na Kamanda. Kupitia kampeni hii, wananchi watapata nafasi ya kueleza...
Jeshi la Polisi Wilaya ya Ulanga limeendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati yake na Wananchi kupitia programu ya “ONGEA NA KAMANDA,” iliyotekelezwa katika Kata ya Lukande, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro.
Programu hiyo inalenga kuwapa wananchi fursa ya kueleza kero na changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.