pengo

The pengő (Hungarian: [ˈpɛŋɡøː]; sometimes written as pengo or pengoe in English) was the currency of Hungary between 1 January 1927, when it replaced the korona, and 31 July 1946, when it was replaced by the forint. The pengő was subdivided into 100 fillér. Although the introduction of the pengő was part of a post-World War I stabilisation program, the currency survived for only 20 years and experienced the most serious case of hyperinflation ever recorded.

View More On Wikipedia.org
  1. SoC03 Kuchochea uchumi: Serikali iwastaafishe watumishi wa umma wenye miaka zaidi ya 50 na kuajiri vijana kuziba pengo hilo

    Habari! Itungwe sheria ya dharura itakayofanya kazi kwa kipindi kifupi (yaani sheria ya mpito). Kila mtumishi wa umma mwenye umri wa miaka 50 na kuendelea astaafishwe kwa lazima na nafasi yake aajiriwe mtumishi mpya kijana wa miaka 18- 45. Ajira hizi za kuziba mapengo zisihesabiwe na...
  2. D

    Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba

    Wakati dalali wa Mahakama kampuni ya Yono (vijana wa kazi) ikihesabu siku zilizobaki katika 14 (siku za kazi) alizolewa mtukanaji Cyprian Majura Musiba kumlipa fidia Kachero Bernard Membe jumla ya shilingi 9.2 Bilioni, Bwana Musiba amewaangukia viongozi wa dini Askofu Alex Malasusa (KKKT...
  3. Pengo la Langa limezibwa na Dizasta Vina

    Tangu Langa atutoke ni miaka 10 sasa sikuwahi kuona wa kuziba pengo lake. Dizasta Vina a.k.a Maradona huyu jamaa kutokana na mpangilio wa verse zake, namna anavyoflow naweza kusema pengo la mwamba Langa limezibwa sasa. RIP Langa
  4. Hivyo ndivyo pengo la wakenya wachache wenye ardhi na wakenya wengi wasio na ardhi lilivyozaliwa

    Samahani huwa sipendi kutafasri maana huwa napoteza maana. --- Secret land deal that made Kenyatta first president Fresh evidence pieced together by the Sunday Nation confirms widespread speculation that Kenya’s first president Jomo Kenyatta entered a secret pact with the British government not...
  5. N

    Pengo la kumtukana na kumdhalilisha Mo Dewji litazibwa na nani?

    Kazi alipewa sope na aliifanya kwa ufasaha mkubwa, kumtukana Mo dewji na biashara zake, waliomlipa pesa na marupurupu mengine kama gari na kumpangia nyumba masaki wako kwenye msongo wa mawazo Je kazi ya kumtukana Mo dewji imetosha, bidhaa zake kuzitukana imetosha? jibu ni hapana, MTUKUKANAJI...
  6. Jitihada Kubwa Bado Inahitajika Kuziba Pengo la Kijinsia katika Ajira

    Licha ya kuongezeka kwa mijadala inayohusu ukosefu wa usawa ambao wanawake wanakumbana nao katika maeneo ya kazi, bado kuna jitihada kubwa inayohitajika ili kuziba pengo la kijinsia katika ajira. Ikilinganishwa na wanaume, wanawake wana uwezekano mdogo wa kuajiriwa katika kazi zenye malipo ya...
  7. Sioni Pengo la Onyango na Kanute robo fainali ya shirikisho

    Onyango na Kanute watakosekana kutokana na kadi 3 za njano katika mchezo wa mkondo wa kwanza hapa Nyumbani dhidi ya Orlando pirate Lakini sioni Pengo kwa kuwa mchezo huo utahitaji kushambulia zaidi basi itakuwa vizuri zaidi kwa Kuwa na Wawa ambaye atapush mashambulizi huku mkude akisogea juu...
  8. J

    Hivi kweli Serikali na Bunge hazikuona upungufu wa kuondoa Tozo ya Mafuta? Hakika Pengo la Tundu Lissu halijazibwa

    Jaribu kufikiria, Waziri wa fedha anapeleka mswada wa Tozo ya mafuta bungeni na bunge zima linapitisha. Baadae Waziri wa Nishati anatangaza kuziondoa Tozo hizo ili kuwapa wananchi unafuu wa bei lakini halihusishi bunge. Wabunge wote wanapata taarifa kwa sababu wote wana magari ya mkopo na...
  9. Siasa-muziki bado pengo la marehemu Komba halijazibwa sio CCM wenyewe wala sio CHADEMA

    Wakuu Kwema. Wiki iliyopita nilikuwa kwenye sherehe ya Harusi ambayo maharusi ni wanachama wa CHADEMA na CCM. MC akaitisha challenge baina ya CCM na CHADEMA kulingana na maharusi. Waliaanza CHADEMA, ikapigwa nyimbo mbili za CHADEMA. Wala hazikuwa na amshaamsha licha ya wafuasi na wanachama wa...
  10. L

    China yatoa mchango mkubwa katika kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Na Fadhili Mpunji Katika miaka ya hivi karibuni sekta ya Tehama imekuwa na maendeleo makubwa katika nchi mbalimbali za Afrika, maendeleo ambayo si kama tu yamekuwa na manufaa kwenye mawasiliano, habari na utangazaji, bali pia yamekuwa na manufaa makubwa kwenye sekta za afya, elimu, biashara na...
  11. Nani anafaa kujaza pengo la Ndugai?

    Nafikiri mpaka sasa Watanzania wengi watakuwa wamepata habari kuhusu tukio la spika wa bunge kujiuzuru. Swali litakalofuata ni, nani anafaa kuziba pengo lake? Mimi binafsi nafikiri Mussa Azzan Zungu ni mtu sahihi wa kujaza nafasi hiyo ya spika wa bunge. Sababu ya kwanza ni kwamba Mh. Zungu ana...
  12. Ukweli usemwe; Mgao wa Umeme na Maji: Pengo la Upinzani bungeni laonekana

    Nchi iko gizani, hakuna maji na mbaya zaidi hata mikoa ambayo inazalisha umeme jenereta na wenyewe kuna mgao! Mafuta tuliambiwa last week kuwa reserve iliyopo ni ya kutufikisha siku 14 tu. Raha sana. Leo huenda zimebaki siku nane tuingie kwenye mgao wa mafuta. Nionavyo, Wabunge wa Upinzani...
  13. L

    #COVID19 Ni wakati kwa Marekani kuelekeza nguvu kupunguza pengo la chanjo

    Hivi karibuni, shirika la ujasusi la Marekani lilitoa ripoti kamili kuhusu chanzo cha virusi vya Corona, ambayo ilishindwa kujibu swali kuwa ni jinsi gani virusi hivyo vya ugonjwa wa COVID-19 vilimwambukiza mtu wa kwanza. Baada ya kupoteza nusu mwaka ambao ni fursa muhimu kwa dunia nzima...
  14. F

    Pengo kwenye Muungano

    Zanzibar ina Rais, ina wimbo wa taifa, ina bendera ya taifa na ya Rais, ina Baraza la Wawakilishi, ina Baraza la Mapinduzi, ina Valantia, Mafunzo na KMKM, ina Serikali Kamili ya Mapinduzi SMZ, ni taifa kamili lililoungana na Tanganyika kutengeneza Tanzania bila kupoteza utaifa wake. Mojawapo...
  15. Kuna pengo kubwa sana la Zawadi Mauya Taifa Stars

    Yule dogo Nivatus ni Mzuri ila anahitaji kuoneshwa namna mpira unaotakiwa kuchezwa. Na mtu pekee hapa Tanzania mwenye uwezo wa kumfundisha mpira dogo Novatus ni Zawadi Mauya. Pia pengo la zawadi Mua limeonekana kwa kuwa ni aina a mchezaji ambaye hakatiki pumzi kama Mzamiru Yasini. Ombi langu...
  16. Pengo la Haji Manara, Simba yakodisha vipindi vya Clouds Fm ili kutangaza tamasha la Simba day

    Yaani leo hii Simba wakukodi vipindi vyote vya clouds fm ili wapigiwe promo ya tamasha lao, hii ni aibu kubwa sana! Tangu jumatatu wiki hii vipindi vya leo tena na sports xtra havifanyiki studio bali vinafanyika mtaani tena kwenye matawi ya klabu ya Simba. Inaonekana Mo amelipa hela nyingi...
  17. Mwanaume ukiondoka kwenye familia inabidi pengo lionekane

    Wanaume tujitahidi sana sana kuwapenda wake, wapenzi wetu tunaoishi nao, Busu(kiss) ni siraha tosha ya kuimalisha mahusiano, Asubuhi ukiamka mbusu mkeo, mpenzi wako kwenye paji la uso, shavuni na tumboni, jioni pia ukirejea kazini fanya hivyo hivyo na kumtakia neno "Nakupenda sana mke wangu"...
  18. U

    Kadinali Pengo Amtembelea Mama Janeth Magufuli na Kumpa Zawadi ya Sanamu ya Bikira Maria

    Kadinali leo amemtembelea Mama Janeth Magufuli na kumzawadia Sanamu ya Bikira Maria Mtakatifu
  19. Pengo la Magufuli limeanza kuonekana kwenye hili swala la vifurushi

    Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala la vifurushi kurudishwa kama zamani ila naona wahusika wa mitandao bado hawajarudisha vifurushi
  20. R

    Hii tabia ya kuwa pengo halitazibika ni uongo, kumpamba mtu tu. Kama pengo la Albert Einstein lilizibika, basi pengo lolote litazibika

    Siamini kuwa hakuna pengo lisilozibika. Ni kudanganyana kumpamba mtu lakini ukweli ni kuwa kila pengo linazibika. Ukiondoka anakuja mwingine, maisha yanaendelea.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…