Kanisa Katoliki hapa Tanzania aliyekuwa na hekima kuliongoza ni Askofu Pengo tu wengine ni mipasho tu

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
3,040
Reaction score
4,529
Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nini cha kusema.

Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisa
 
Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.

Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
Pengo aliongoza.lin Kanisa Katoliki tanzania mkuu naomba unikumbushe
 
Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.

Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
Pengo rafiki yake Bashite?
 
Nilikuwa sijazaliwa labda. Kwamba Kadinali Pengo aliwahi kuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania?
 
Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.

Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
Kwani we humjui pengo?
 
Hivi waliomshambulia Kitima , walishapatikana?
images (26).jpeg
 
Nenda sabato au kuwa muislam hakuna anayelazimishwa kuwa katoliki.Katoliki ni moja,ya mitume na takatifu.Ukipenda ondoka hakuna mwenye mpango na mtu.Kanisa lipo na litasimama
 
Na atashambuliwa kweli mpaka akili yake ikae sawa
Kumbe mlitumwa kumshambulia, mlikua wangapi wewe na wenzako , na mlilipwa buku 7 ile ile au dau lilipanda?
. Mlitaka kumtikisa mama kisa mwanamke eti
Kila mtu ana mama yake , mama yupi huyu unamzungumzia hapa , maana hili sio jukwaa la kutambiana kuhusu mama zetu.
 
Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.

Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
shida watanzania wengi ni maLOFA
 
Back
Top Bottom