Tatizo ni muuaji kutegemea dini imtetee, kaua watanzania wengi kuliko watangulizi wake, kateka watanzania na kunywa damu zao kuliko mtu yeyote katika nchi hii, ni mtu bogus anae toa maamuzi usiku kwa kujificha, Samia ni serial killer , hakuna binadamu yeyote hapa Africa Mashariki anaweza kulinganishwa na Samia, pengine Idd Amin.
Hii yote tuliwaambia mapema huyu ni form 4 failure hawezi kumlazimisha, tunarudia kuwashauri tena kwa muuaji mnapoteza muda, hata military mashehe dunia nzima waje wakae nae ni kazi bure.
Rais unae jitambua huwezi kutumia dini eti ikutetete, just do a right thing.
Mtaunda tume na tume, vitu ni Rahisi sana, na ni simple, watanzania wanahitaji haki zao za msingi.
Kuna boya lingine nime lisikia kule linadai eti polisi wafanyiwe reforms , a real reforms sio polisi tu bali ni ccm kujitenga na serikali, ccm kuheshimu taasisi za kiserilali, kwani pole pole alitekwa kwa maslahi ya kipolisi? Tindu lissu amewekwa Gerezani kwa takwa la polisi? Ni takwa la ccm , kumluzisha muuaji, kwahiyo hata ukibadili vipi viongozi wa ccm bado hali iko pale pale, hivyo wanaodai katiba na tume huru wako billions miles ahead of ccm.