Shida ya kurukia imani za u ndo hii Pengo alikua Askofu wa Jimbo kuu Dar es salaam na sio kiongozi wa Katoliki Tanzania, Askofu ni kiongozi wa Mahalia Husika,
Na kipindi cha Pendo kulikua hakuna unyama na ukatili kama wa sasa, Bandari hazikuuzwa, watu walikua hawatekwi, Wizi wa Kura wa mchana mchana haikuwepo, Viongozi wa Kidini walikua hawatekwi hayo yangekuwepo Angesema tu.
Kazi ya dini ni kukemea maovu kwenye jamii unataka kuwafundisha viongozi wetu wa kiroho kusema uwongo au mmeshindwa kupenyeza mamluki wenu.