What about your country. Mifumo yote si tu meirithi Kwa wakoloni wetu😆😆😆 Elimu, governance, mahakama, jeshi n.kColonial legacy inaisumbua hiyo taasisi
Kipi ni Cha kwetu?
What about your country. Mifumo yote si tu meirithi Kwa wakoloni wetu😆😆😆 Elimu, governance, mahakama, jeshi n.kColonial legacy inaisumbua hiyo taasisi
Vipi BAKWATA?Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
Kwani Pengo alikuwa kiongozi wa kanisa katoliki Tanzania?Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
Kwa hiyo huo ndio mtazamo wa wahubiri amani bila haki na wapalilia mgawanyo kidini na kiitikadi sio.Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
Pengo walewale, alikua na ofisi ikulu akihudhuria Baraza la mawaziri, jakaya akamtimua,chuki kwa jakaya toka kwa wavaa majoho mpaka leoKanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
Endeleeni kupigwa sound na hawa maaskofu mnaowaona kama miungu yenuKwani Pengo alikuwa kiongozi wa kanisa katoliki Tanzania?
Kardinali Pengo alikuwa Askofu mkuu wa jimbo kuu la Dar es salaam,Nguvu ya Pengo ni Dar es salaam tu
Katoliki wana majimbo makuu zaidi ya sita,na kuna majimbo ya kawaida mengi tu
Hakuna Askofu aliye juu ya mwenzake
Askofu mkuu wa Jimbo la mbeya akiongea anaongea kama mkuu wa jimbo la Mbeya
Maaskofu katoliki wana mipaka ,Hakuna kiongozi wa wakatoliki Tanzania
Hao maaskofu wana baraza lao linaitwa kwa ufupi TEC
Maaskofu Mahalia wanapokusanyika pamoja wanakuwa chini ya Rais wa Baraza lao. Tanzania Rais wao sio Mwadhama Polcap Kardinali Pengo Wala Askofu Mkuu wa Jimbo la Tabora Mwadhama Protase Kardinali RugambwaRejea protocali wakiwa maaskofu wote wamekusanyika. Anayetajwa wa kwanza ni kadinali kumaanisha ndiyo top of all
wewe chawa wanakufilimbaKanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq
Umeona vile akili huna nimekutekenya kidogo umelipuka,kumbe jibu ni moja wewe unalipwa buku saba kusaliti taifa lako na utu wa watanzania, sasa rasmi wewe ni wakala wa ugaidi.Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nin8 cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisq