Najua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye hajahangaika hata kupunguza spidi yake, matokeo yake kasababisha hasara ya mali, afya yake na haraka...