Picha: Kuku mwenye manyoya yaliyojigeuza nje ndani. Je, wanakazi Gani hasa huko ulimwenguni?

Picha: Kuku mwenye manyoya yaliyojigeuza nje ndani. Je, wanakazi Gani hasa huko ulimwenguni?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Nimekuwa nao lakini ajabu kila mtu akiwaona anashangaa na wengi wananituhumu labda ninao kwa ajiri ya kazi flani za kishirikina ikizingatiwa na kwamba wakihitaji niwauzie siuzi maana mie ni kwa ajiri ya mapambo na kula tu nje na kuku wengine.

Kwani Hawa kuku nilichongundua wanauzito sana. Pia hawana manyoya mengi kama Hawa wengine.

Nyama Yao ni tamu na inavimba mithili ya kuku kuchi. Nahisi Hawa nao ni Moja ya kuku wa asili pure (kienyeji pro max waliobaki yaani pure)

Huko ulimwenguni wanakazi nje na hizi ninazo jua mimi yaani kula au mapambo?

Karibuni
PXL_20260408_135543918.jpg
PXL_20260408_135014049.jpg
 
Back
Top Bottom