Picha: Kuku mwenye manyoya yaliyojigeuza nje ndani. Je, wanakazi Gani hasa huko ulimwenguni?

Picha: Kuku mwenye manyoya yaliyojigeuza nje ndani. Je, wanakazi Gani hasa huko ulimwenguni?

Kuna mahali Mbezi Beach kuna Tajiri anao lakini anawachunga ile mbaya na inasemekana ni kwa ajili ya mifumo ya Kiisrael na KiIran 😀😀😀
Mimi wapo kwa ajiri ya nyama na kuwaangalia tu kama mapambo. Hayo mengine yameanza kujitokeza kila mtu ananiambia anawatafuta sana na anaomba nimuuzie ukimwambia huuzi basi naye anajua wazi ni kwa sababu zilezile za mifumo ya Israel japo mimi sijui lolote
 
Kweli siijui hiyo pombe ngoja niulizie hapa
Wewe uko karibu kuokoka mkuu usijue hii subunit ya roho?

Hii ukipiga glass uhakika wa kuanza kutambaa si wa kuuliza kwenu ninyi vichwa vibovu

Zipo aina kadhaa wa kadhaa

Screenshot_20260409_055814_Google.jpg
 
Nimekuwa nao lakini ajabu kila mtu akiwaona anashangaa na wengi wananituhumu labda ninao kwa ajiri ya kazi flani za kishirikina ikizingatiwa na kwamba wakihitaji niwauzie siuzi maana mie ni kwa ajiri ya mapambo na kula tu nje na kuku wengine.

Kwani Hawa kuku nilichongundua wanauzito sana. Pia hawana manyoya mengi kama Hawa wengine.

Nyama Yao ni tamu na inavimba mithili ya kuku kuchi. Nahisi Hawa nao ni Moja ya kuku wa asili pure (kienyeji pro max waliobaki yaani pure)

Huko ulimwenguni wanakazi nje na hizi ninazo jua mimi yaani kula au mapambo?

Karibuni View attachment 3569477View attachment 3569480
Ni fasheni tu, yaani maumbile tu hayo.
 
Back
Top Bottom