Duuh Ya watu ni mengi aseeHuyo kuku anaitwa Njachama, ukipigwa kafara lake kazi yake ni kusambaratisha/kufarakanisha
Usione kuna nyumba zinawaka moto, ukipigwa kafara la huyo kuku bila na wewe kuwa mzito umekwisha.
Ninao sasa na nawafuga kwa mfumo wa huriaHmm hao wanga hawawapendi! Na wanawatafuta kwaajili ya dawa ukiwanyima wanawaua! Mtu yuko radhi akupe hata laki 3 kisa huyo kuku! Hawajakugundua naoana!
Sahihi mkuu saa2 nipo navunja mifupa Ile mbaya...watamu mno Hawa kuku.Sio kweli mkuu Ladha inatofautiana kulingana na aina ya kuku
Kwenye nyama Yao kwakweli ni watamu mno mkuu kwa hakika wako tofauti mnoHao nimewaona sana hata nyama zao tamu sana, mengine ndo nayaona humu.
Hahahaa kwenye kila sector lazima mifumo ya ulinzi wa anga iwe mizuri vingenevyo hutoboi. Israel sio wajingaNi watamu mwenye nyumba wangu alikuwa nao wakawa wanakuja watu kumuomba awauzie anakataa, hawakuchukua round wakadanja!
Nishalewa na maswali yako unakera kinoumaSahihi mkuu saa2 nipo navunja mifupa Ile mbaya...watamu mno Hawa kuku.
Nipo IGUNGA, kutoka hapo ushirombo Geita mpaka IGUNGA ni 20k nitumie nije niwaone kwa niaba ya members wengine hapa jukwaani.
Wametoka kuogelea Kokobichi hao.Nimekuwa nao lakini ajabu kila mtu akiwaona anashangaa na wengi wananituhumu labda ninao kwa ajiri ya kazi flani za kishirikina ikizingatiwa na kwamba wakihitaji niwauzie siuzi maana mie ni kwa ajiri ya mapambo na kula tu nje na kuku wengine.
Kwani Hawa kuku nilichongundua wanauzito sana. Pia hawana manyoya mengi kama Hawa wengine.
Nyama Yao ni tamu na inavimba mithili ya kuku kuchi. Nahisi Hawa nao ni Moja ya kuku wa asili pure (kienyeji pro max waliobaki yaani pure)
Huko ulimwenguni wanakazi nje na hizi ninazo jua mimi yaani kula au mapambo?
Karibuni View attachment 3569477View attachment 3569480
Tuvumiliane mkuu. Faida ya ufugaji ndo kama hii unakula kile unapendaNishalewa na mawali yako unakera kinouma
Ya kunywq supu kila baada ya ubapa mmojaKwa ajiri ni kitu gani?
Kwanini mfugaji usile nyama tu, mpka ule na wali au ndio yale ya agrikalcha iz the prosses of animal kipingi and cultivation cropsi bwashee?Tuvumiliane mkuu. Faida ya ufugaji ndo kama hii unakula kile unapenda
Aisee. Mi najifugia tu. Tena niliwaona sehemu kwa mtu akaniuzia kwa bei ghari sana maana Mimi nilipenda muonekano wao.Hawa ni wazuri kwenye kumtia mtu ukichaa..
Mimi kama uonavyo Kuna ugali wangu mwenyewe tu na Tyr umeisha mkuu.Kwanini mfugaji usile nyama tu, mpka ule na wali au ndio yale ya agrikalcha iz the prosses of animal kipingi and cultivation cropsi bwashee?
Wapo sana Hawa kukuSijawahi kuwaona eti na uzee wangu wote🙆♂️
Magic moment ndio kitu gani bwasheeMimi kama uonavyo Kuna ugali wangu mwenyewe tu na Tyr umeisha mkuu.
Nina Magic moment lkn ndo hivyo tena kesho job.
Sijawahi kuwaona.Wapo sana Hawa kuku
Anaaamisha pombe uyo humu ndani watu wanagida sanaMagic moment ndio kitu gani bwashee