Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
- #61
Mimi usiku kula wali labda niwe ugenini kwangu haiwezekani na wanajua kabisa ugali lazima.Nilijua tu! Umenikumbusha kijijini kwa bibi tulikuwa tunapewa ugali kwanza ndio wali, tulikuwa hatupendi ugali!😁