rais

  1. Wafanyabiashara Kariakoo: Jengo lililoanguka Kariakoo halikubeba tani 850. Hii inamaanisha Rais alipewa taarifa zisizo sahihi?

    Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo wamehoji juu ya usahihi wa takwimu alizopewa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa jengo la ghorofa lililoanguka Kariakoo Novemba 16, 2024 lilikuwa limebeba mizigo ya tani 850. Akizungumza leo Februari 04, 2025 katika uzinduzi wa Balozi Jengo, Fredrick Lutindi...
  2. Tazama mazishi ya watu waliouawa kwenye mapigano DRC, inasikitisha

    https://www.youtube.com/watch?v=IAOGxEEoKKQ Wahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yaliyohusisha jeshi la nchi hiyo na Wapiganaji wa Kundi la M23. Mkuu wa ujumbe mdogo wa Shirika la...
  3. N

    Rais Samia ni lazima Jenista Mhagama awe waziri wa Afya?, Unataka aaibishe nchi mpaka lini?

    Mapenzi haya ya Samia kwa Jenista ni sawa na uwehu, huyu waziri wa Afya wa sasa Jenista Mahagama ni kilaza kiasi kwamba hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi kusoma. Km anampenda sana kwanini asimpatie kazi itakayomfanya asionekana mbele ya hadhara? Nia ya Samia ni kuiaibisha nchi yetu? Miaka...
  4. T

    Pre GE2025 Mbunge wa Mbarali awataka UWT kutangaza habari za Rais Samia hadi msibani

    Wakuu vibweka ni vingi sana huu mwaka, Mbunge wa jimbo la Mbarali Bahati Ndingo amewataka wanawake wa UWT kusambaza habari na mambo anayoyafanya Rais Samia, wakiwa kwenye shughuli mbalimbali ikiwemo msibani Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  5. Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajia kupokea tuzo ya “The Gates Goalkeepers Award

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, anatarajia kupokea tuzo ya “The Gates Goalkeepers Award” ikiwa ni kielelezo cha matokeo makubwa ambayo yamepatikana katika uongozi wake kufuatia ripoti ya utafiti wa demografia na afya ya mwaka 2022 inayoonesha kupungua kwa vifo...
  6. R

    Mbona mapema sana, Siku 3 baada ya Rais wa Mexico kuishupazia shingo Marekani kakubali kutuma wanajeshi elf 10 mpakani kudhibiti madawa na wahamiaji

    Trump aliweka kodi asilimia 25 kwa bidhaa zinazotoka Mexico kama adhabu ya wao kutotia mkazo wa uvushaji wa madawa na wahamiaji haramu kuingia Marekani, Rais wa Mexico hakutaka kuonekana mnyonge akamwaga mboga kwa kuweka kodi asilimia 25 kwa bidhaa zinazotoka Marekani (Tit for Tat), Ni siku ya 3...
  7. R

    Msaada tutani, CCM mna mgombea wa kukabiliana na mabadiliko yanayokuja duniani kupitia Rais Trump?

    Hellow Tanganyika, USAID inadaiwa kufutwa, makampuni Toka nje yanafunga ofisi, misaada ya madawa inaondoshwa nk nk Nawauuliza swali dogo tu, maana muda Bado upo na uchaguzi haujatangazwa Bado, hivyo kutangaza wagombea sasa Bado Si HOJA sana, mabadiliko yaweza fanyika. Tujiulize yafuatayo; 1...
  8. T

    Pre GE2025 Wakili Mwabukusi aeleza kuwa Tanganyika Lawyers' Society (TLS) hawajalamba asali

    Wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya sheria nchini rais wa chama cha wanasheria Tanganyika Boniface Mwabukusi amesema kuwa; "Tunaposhirikiana na Serikali hatulambi asali, tunapata changamoto watu wanapoona tunashirikiana na serikali wanafikiri tunalamba asali. TLS siyo kikundi cha...
  9. Tanzania namba 3 kuingiza nguo za mitumba Afrika, yatumia Sh379.9 bilioni

    Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tatu ndani ya Bara la Afrika kwa kuingiza nguo za mitumba katika mwaka 2022, ripoti ya tovuti inayojihusisha na masuala ya biashara Observatory of Economic Complexity (OEC) inaeleza. Kwa mujibu wa tovuti hiyo, Tanzania ilitumia Sh379.921 bilioni kuingiza nguo...
  10. Wagawanye uwatawale: Njia iliyotumika Rais Paul Kagame anataka kuwekwa kama sadaka ya kafara.

    Ni historia inayojirudia ambapo mkoloni ni kama ameona njia ya kuwapumbaza Waafrika na kuwatawala kiurahisi ni kuwataka wapigane wenyewe, waonane wabaya wao kwa wao. Nchi ya DRC inakadiriwa kuwa na vikosi vya uhalifu zaidi ya 100 je tuseme vikosi hivi vyote vinadhaminiwa na Rwanda?..Inasemekana...
  11. Rais wa Burundi katoa onyo ambalo tumeshalitoa mara nyingi humu. Kazi kwenu wenye mamlaka

    Tumeshaandika nyuzi nyingi sana humu. Sasa kaongea Rais wa Burundi. Nawakumbusha tu. Mkifanya nao mazungumzo kuhusu Goma na wakafanikiwa kituo kinachofuata ni Kagera na wakulianzisha ni Muhoozi K.
  12. A

    Kama waziri kuonana na Rais ni changamoto hivi, kuna shida mahali

    Msikilize, Prof Mkenda akilalamika mbele ya Rais kwa kunyimwa nafasi ya kuonana na Rais. Au labda ni kuhimarisha ulinzi wa Rais? Wanajukwaa mna maoni gani kuhusu hili.
  13. A

    RAIS MSTAAFU MH JAKAYA MRISHO KIKWETE ALILENGA KUPATA SULUHISHO LA KUDUMU ILA RWANDA WAKASHUPAZA SHINGO

    Sikiliza mwenyewe kupitia hii link https://x.com/EggleVuvu/status/1885185539365564674?t=eqx2xm8OPAYKondHhO_7DQ&s=08
  14. P

    Azimio la Arusha: Ni muhimu sana rais na cabinet yake yote waisome na kuielewa

    Hivi viongozi wetu wamesoma hii document ya Azimio la Arusha? Pesa tunaitaka, lakini tusifikiri yenyewe ndiyo italeta maendeleo ya nchi. Mikopo inaturudisha nyuma inafanya tuishi maisha magumu sana. Kodi zipo juu ili tu tuweze kulipa mikopo. 😭😭😭
  15. Rais Samia: Ujasiriamali kuwa somo la lazima kwa Sekondari kidato cha kwanza hadi nne. Ili kuandaa vijana kujitegemea

    Rais Samia amesema kuwa Ujasiriamali litakuwa somo la lazima kwa wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne ili kuwaandaa kujitegemea. Akisisitiza kuwa mabadiliko haya ni sehemu ya mkakati wa serikali wa kuleta mageuzi katika sekta ya elimu ili iendane na mahitaji halisi ya...
  16. Kwanini wengine Wakifa Rais Samia hawapi Mamilioni ya Shilingi kama alivyofanya kwa huyu Sheikh Muhammad Idi?

    Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuber amekabidhi kiasi cha Tsh Milioni 20 za rambirambi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwenda katika familia ya marehemu Sheikh Muhammad Idd. Mufti Abubakar Zuber amekabidhi Milioni 20 kwa Mwakilishi wa familia...
  17. Pre GE2025 Geita: Viongozi wa dini Chato wachangisha Tsh. Mil 1.4 kwaajili ya Rais Samia kuchukua fomu ya kugombe Urais

    Wakuu, Mchango huo umefanyika katika hafla maalum iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya Wilaya ya Chato inayoundwa na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kuliombea taifa dhidi ya ugonjwa wa Marburg. Soma: Pre GE2025 - Geita: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Katika mchango...
  18. Rais Samia atishwa na kasi ya ongezeko la Idadi ya Watu, lisilioendana na kasi ya ukuaji wa Uchumi wetu

    Rais Samia, ameonya juu ya ongezeko la idadi ya watu lisiloendana na kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi. Akizungumza leo, Februari 1, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014, toleo la 2023, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Mrisho Kikwete, jijini Dodoma, Rais...
  19. Rais Samia azindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Toleo La 2023, Dodoma

    https://www.youtube.com/watch?v=gVEY5kDgETg Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho kuhusu masuala mbalimbali ya Elimu kabla ya kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete...
  20. Hebu Msikilizeni JK Kipindi Akiwa Rais, Ni Kuhusu Ishu Ya M23 na Kagame. Na Nini Mtazamo Wetu WanaJF

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…