Leo Novemba 15, 2022, idadi ya watu duniani inakadiriwa kufikia watu Bilioni 8, ambayo ni hatua muhimu katika maendeleo ya binadamu.
Ukuaji huu ambao haujawahi kushuhudiwa unatokana na ongezeko la taratibu la maisha ya binadamu kutokana na kuboreshwa kwa afya ya umma, lishe, usafi wa kibinafsi...