salama

Salamá is a city in Guatemala. It is the capital of the department of Baja Verapaz and it is situated at 940 m above sea level. The municipality of Salamá, for which the city of Salamá serves as the administrative centre, covers a total surface area of 764 km² and contains 65,275 people.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Je, Mawaziri na viongozi wa kisiasa wapo salama? Tunaamini watalii wataongezeka kuja kwenye nchi ambayo Mawaziri wanatuhumiwa kumuhujumu Rais?

    Tunaweza kujiuliza maswali magumu kuhusu usalama wa viongozi wa chama cha mapinduzi. Lakini pia ikawa hoja ya usalama wa viongozi na watu maarufu nchini. Sina uhakika kama anayetukanwa ni Rais au ni Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi lakini najiuliza huko wapi usalama wa wanaotuhumiwa? Je...
  2. P

    Ni kwa kiwango gani TBS iko makini kuhakikisha Wananchi wako salama?

    Huwa kuna vita ya kiuchumi, Huwa kuna makosa ya kiufundi Wananchi tunatumia bidhaa zinazozalishwa nchini na nje ya nchi na uwezo wa ku control kila kitu ni mdogo. Je hatuoni haja ya TBS kuwa taasisi imara na yenye kila resources ili waweze kufungua ofisi sehemu mbali mbali nchini na hivyo...
  3. Eid Mubarak to all Muslims

    Nawatakia Waislamu wote Eid njema yenye furaha na Upendo
  4. Ndege aina ya Boeing 737 Max, ni hatari, zimepigwa marufuku nchi nyingi

    Wanajamvi aina ya hizi ndege zimepigwa marufuku sehemu nyingi sana Duniani baada ya mfululizo wa ajali. Inadaiwa Boeing 737 Max, ni ndege za kisasa mno lakini zina hitilafu kwenye mifumo yake ya utengenezajji. Ethiopia hii ndege ilianguka na kuua watu wote, majuzi Marekani hii ndege mlango...
  5. Heri ya Sikukuu ya Pasaka mwanafamilia wa JF

    licha ya kuchelewa kutoa salamu zangu za pasaka kwako na kwa familia yako, nadhani bado ni muhimu sana walau kusema tu heri ya sikukuu ya pasaka mwanafamilia wa JF🌹 ukiachana huzuni na majonzi kwa matokeo ya vitu vingine tangu Ijumaa pale lupaso, nimewiwa kutoa rai binafsi kwako, ya kuwa...
  6. G

    Ole wako ukamatwe: Zanzibar kulaani ilikuwa ni zuga tu, kwenu wakristo leo ni pasaka ila muwe makini mkiwa nje, Hizi ndio sehem pekee salama kula

    Mkae chonjo, msije mkabweteka kwa tamko la jana mkajiachia huru mkanasa kwenye mtego kwa siku ya leo ya Pasaka, mkumbuke tamko limelaani tu wala halijaweka wazi sehem yoyote kwamba kuna hatua zozote zimechukuliwa kusitisha vipigo na kukamata wanaokula hadharani. Vichakani, kula kwa machale uwe...
  7. Q

    Mahafali imeisha salama, hongereni wahitimu. Nawatakia heri katika hatua iliyoko mbele yenu.

    Police Mahafali imeisha salama, hongereni wahitimu. Nawatakia heri katika hatua iliyoko mbele yenu.
  8. Natamani sana Dar es Salaam ingeweza kuzingatia sana kwenye usafi wa mazingira maana kwa mazingira yalivyo kwa sasa sio salama

    Habari wana Jamii Forum Ningeomba niwasilishe hili swala kwa jamii ili tuliongelee. Dar es Salaam ni Jiji zuri sana kwa hapa Tanzania ambalo linapendwa na wengi na huo ndio ukweli usiopingika,lakini pamoja na uzuri wake wote kuna kitu kimoja tu kinashusha thamani ya Jiji hili nacho ni MAZINGIRA...
  9. Amefanya mapenzi na mwanamke wa ndoto yake kisha akagundua mwanamke huyo alizaliwa na VVU, je yuko salama?

    Alianza kumfuatilia mrembo huyo miezi kwa miezi kadhaa bila mafanikio, mtoto kaumbika, rangi ya mtume. Binti huyo alimaliza chuo mwaka juzi na kaajiriwa dar kwenye kampuni moja kubwa tu. Alikua na mtoto mmoja aliemzaa mara tu baada ya kumaliza chuo Mwezi uliopita jamaa ndipo alipewa tunda mara...
  10. R

    Leo kinafanyika kikao cha baraza la Mawaziri; unadhani wakuu wa taasisi watabaki salama au kuna pangua pangua inakuja?

    Vikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya. Leo tena ikiwa mwenzi aujaisha wamekutana tena katika kikao kazi, je nani unadhani atakuwa amemzingua mama? DAS aliyetuhumiwa kwa mafuta atapona? Waziri aliyefanya utani atapona...
  11. Namna Faza Nelly alivyouawa kwa kuchomwa visu 9

    FAZA NELLY MEMBER WA X PLASTAZ KUNDI LA HIP HOP KUTOKEA MKOANI ARUSHA... ✍🏼 Jumatatu ya 29 March Mwaka 2006 Fans wa Swahili Hip hop World wide dunia nzima walikua na simanzi kutokana na Taarifa za kifo cha Nelson Chrizostom Rutta/maarufu kama Faza Nelly ambae alikufa kutokana na Majeraha ya...
  12. Tende za msaada ni salama?

    Wakati huu wa mfungo. Huwa tunaletewa tende za Msaada toka Arabuni. Vipi kuhusu usalama wake? TBS wazipime tujue ubora wake
  13. Serikali iwe makini; misaada ya vyakula Marekani si salama

    Serikali inabidi iamke toka usingizini. Serikali za wenzetu, hasa ya Marekani, wana ajenda isiyo wazi kwetu, nchi za Afrika. Afrika inachukuliwa kama bara la kuvuna malighafi na si vinginevyo. Marekani kwa muda mrefu sana ina kituo cha kijeshi Congo, na huko ndio lichukua Uranium iliyotengeneza...
  14. Kumekuwa na wimbi la wauza maziwa mitaani na barabarani, Je maziwa hayo ni salama?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuuza maziwa fresh na mtindi mitaani, Je maziwa hayo huwa ni salama kwa afya za watumiaji? Niliwahi fanya tafiti kidogo kwa kumuuliza kijana mmoja muuzaji wa maziwa haya, aliniambia wanayanunua ubungo na hivyo wao huyauza tena mitaani kwa faida kidogo. Je, ni...
  15. Serikali iwasaidie Wanakijiji hawa wa Dodoma wanateseka kwa kukosa maji safi na salama

    Nimetazama video hii ya Habarika24 TV ikanikumbusha nilipowahi kufika kwenye hiki Kijiji cha Madaha Wilayani Chemba Mkoani Dodoma na vingine kadhaa vya jirani nilipoenda kwa ajili ya shughuli zangu binafsi. Nilikuwa na mwenyeji wangu ambaye alinieleza kuwa changamoto hiyo ni ya kawaida kwao...
  16. KERO Maji ya DAWASA yana harufu na ladha ya Dawa kali sana, ni salama kweli?

    DAWASA tunawashukuru sana kwa kuanza kurejesha huduma ya Maji baada ya kukatika kwa muda mrefu huku mkieleza chanzo ilikuwa kurekebisha mitambo ya machujio ya tope. Lakini sasa kuna jipya, maji yenu yanakuja harufu kali sana ya Dawa za kutibu maji kiasi kwamba hata ladha ya maji imepotea. Sasa...
  17. Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) Launched the "UPISHI SALAMA Project - Upishi Salama kwa Afya ya Mpishi"

    Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), in partnership with Equity Group Foundation (EGF) Equity Bank Tanzania and ORXY, on 6th March 2024, has launched the "UPISHI SALAMA Project" with the slogan "Upishi Salama kwa Afya ya Mpishi." at Hasnu Makame Secondary School. This initiative aims to...
  18. Ulipata Hisia gani baada ya wewe na mkeo kupima Ukimwi na kukuta mpo Salama?

    Kwema! Katika vitu nilikuwa naogopa ni kupima VVU. Ukimwi sio poa aseeh! Kwa sisi tuliouona miaka hiyo Watu wakiugua huo ugonjwa tumeathirika kisaikolojia. Hasa sisi wanaume ndio tunaogopa zaidi. Haya. Embu eleza hisia ulizopata baada ya wewe mkeo kupima na kupata matokeo negative, yaani mpo...
  19. FT: Medeama 0 - 1 Al ahly | CAF CL | 23/02/2024

    Game kali Sana,mwarabu bado kidogo apelekewe moto. Mechi iishe draw,yanga --- Mchezaji wa Al Ahly El Shahat aisaidia timu yake kushinda bao 1-0 ugenini dhidi ya Mabingwa wa Ghana Madeama baada ya kufunga bao pekee la ushindi katika dakika ya 48 ya mchezo. Kwa ushindi huu Al Ahly...
  20. KWELI Kufanya mapenzi wakati wa ujauzito Kunaweza kuongeza kwa kiasi kidogo kichocheo cha kuanzisha uchungu ikiwa siku za kujifungua zimefika

    Wakuu wa mambo tunaomba msaada hapa, huku mtaani kwetu kumekuwa na maneno mengi juu ya Kufanya mapenzi Wakati Ujauzito Kunasaidia Kupunguza maumivu, njia kufunguka kwa haraka wakati wa kujifungua na mtoto kushuka haraka wakati wa kujifungua, je kuna ukweli katika Hili?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…