Rais Samia azindua miradi minne ndani ya wiki moja, adhihirisha kwamba Tanzania ni salama kwa uwekezaji

Rais Samia azindua miradi minne ndani ya wiki moja, adhihirisha kwamba Tanzania ni salama kwa uwekezaji

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
297
Reaction score
285
Ndani ya wiki moja, Rais Samia Suluhu amezindua miradi minne ya uwekezaji yenye tija kwa taifa na wananchi kwa ujumla.

1. Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited
2. Uzinduzi wa usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR
3. Uzinduzi wa Bandari kavu ya Kwala (Kwala Dry Port)
4. Uzinduzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki

Kutokana na maboresha ya sera, sheria na mazingira ya uwekezaji yamevutia wawekezaji zaidi kuja kuwekeza Tanzania.

Oktoba tuna tiki Samia
1754051346169.png

1754051372862.png

1754051391008.png

1754051416237.png
 
Nyumbu kama nawaona vile walivyonuna kwa wivu huku kamasi nyepesiii za hasira zikiwavuja puani bila kujua😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom