samsung

  1. TECNO kutwaa tuzo ya simu pendwa baada ya kuishinda Samsung

    Utafiti wa soko la teknolojia, uliofanywa na Kampuni ya utafiti ulimwenguni inayojishughulisha na bidhaa katika tasnia ya teknolojia ya vyombo vya habari na mawasiliano ya simu. Mwishoni mwa mwezi wa nne wametoa report ikionyesha kuwa kampuni ya simu TECNO imechukua nafasi ya kwanza kama simu...
  2. Kwanini Samsung wameanza kukomaa na processor za Mediatek?

    Habari za leo wajamvi? Kama heading invyosema hapo juu. kwa sasa Samsung mobile phones zinaonekana kutoa mid range budget phones kwa kasi sana kila leo ili kuendana na makampuni ya simu ya kichina. Kwa upande wa makampuni ya simu ya kichina nao wameonekana kuja juu kwa kuweka specifications...
  3. Naitaji Samsung note 10

    Naitaji Samsung Note 10 yenye hali mzuri no michubuko, ambayo imetunzwa vizuri. Bajet yangu ni laki sita na nusu. Niko Dar es Salaam. Mwenye nayo tafadhali npm tufanye biashara.
  4. Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

    Habari nimeona ni share na nyinyi hii, Katika ushindani wa soko la simu kampuni nyingi za simu zimejikuta zikitoa simu zenye kushabihiana sifa. Kwa leo tuliangalizie kwa ndani simu aina ya Infnix Hot 10 Play na Samsung Galaxy A02s.na mwisho wa makali hii nadhani tutakuwa tumepata kufahamu ipi...
  5. Msaada manunuzi ya Lcd Ya Samsung J7 Pro kwenye site ya Aliexpress.

    Natakaa kuagiza LCD hii hapa US $25.88 30% OFF|5.5 ni mara yangu ya kwanza kufanya manunuzi kwenye mtandao huu pia kama kuna option naweza kupata kwa hapa Tanzania kwa bei nafuu na nikizuri mnisaidie.
  6. Samsung A10s

    Simu Samsung A10s inauzwa. 1 Dual camera- 13MP +2MP dual rear camera na 8MP front camera 2 finger scan- well functioning 3 warranty- 2years but used 3 months mpaka sasa 4 Octa core processor 5 Network-4G LTE 6 32GB memory and 2GB RAM 7 BATTERY. Inavumilia sana chaji siku...
  7. N

    Phone4Sale Samsung Galaxy A10s inauzwa

    Habari zenu wadau, nauza simu yangu ya samsung A10s kwa bei ya 210k napatikana Mbagala Dar es Salaam iko poa kwa kila kipengele
  8. Nina 300,000 nataka TV Samsung inchi 32, nipo Pugu Dar

    Nina 300,000 nataka TV Samsung inchi 32 nipo Pugu Dar
  9. INAUZWA Vitu vya ndani, Sony Hi-Fi music, Samsung TV bei ya January

    Sony MHC-RG310 bei yake 350,000 Samsung TV nchi 32 bei 350,000 Kitanda cha chuma na godoro lake 400,000 godoro nchi 8 Vyote tuchekiane 0685008131
  10. C

    Hivi kuna toleo la Samsung S7 lenye storage ya 128 GB?

    Wakuu, Kuna tangazo nimeona huko FB, kuna simu inauzwa ni Samsung S7 lakini storage ni 128 GB Asa nauliza hivi kuna Samsung S7 ya aina hiyo?
  11. R

    Msaada jinsi ya kuroot samsung A2 core

    Habar wadau Nisiwachoshe nina samsung a2 core ipo poa ina android 8.1 sasa kuna vitu inaniboa mfano haina dark mode wala galaxy theme ivo nakuwa sina uhuru sn pia haina LTE only feature so nataka niroot kisha ni update iwe android 10 niweEaeti dark mode na kuchagua theme itayopenda kwenye...
  12. Vioo vya Samsung kuanzia S6 Edge ni vya hovyo sana

    Pomoja na Tech nzuri ya Super Amoled, vyenye mwanga mng'aavu, Vioo vya hizi simu ni mtihani sana kwa watumiaji. Yaani kuanzia toleo hilo na kuendelea vioo vinaweka mistari bila sababu ya msingi kama TCL. vipo so delicate, weka liquid protector ongezana Glasi protector lazima vikutafutie sababu...
  13. Phone4Sale Samsung Galaxy m11, 250K

    Nimetingwa jamani, nauza simu yangu ninayoitumia. 250000/= Samsung Galaxy m11 32Gb internal Memory. 3 Ram Triple Camera. Battery 5000mAh. Imetumika miezi miwili. Hizi simu zimeingia sokoni May 2020. Location, Kimara. Karibu PM. Shukrani.
  14. Programu ya Chombo cha Samsung haifanyi kazi

    Je! Kuna mtu yeyote hapa ametumia zana ya Samsung (toleo la Windows) kufungua vifaa vyovyote vya Samsung? Hivi majuzi nilipakua programu hii kwa kompyuta yangu. Lakini siwezi kusakinisha hii kwenye kompyuta yangu kwa sababu inahitaji nywila. Hakuna faili ya maandishi iliyoambatanishwa na faili...
  15. Samsung "A series" ni simu zenye ubora hafifu; kuwa makini

    Kwa wale wanaotaka kubadili brand na kwenda brand maaarufu kama Samsung kuweni makini hasa kwenye Samsung A series". Ukifuatilia kwa makini utagundua kampuni ya Samsung wametoa A series kwa ajili ya wateja wanaotaka kumiliki brand ya Samsung ila bajet yao ndogo ila kiukweli Samsung A series...
  16. Report: the Huawei P50 will use Kirin 9000 chips, Samsung and LG OLED displays

    With the Mate 40 flagships out of the gate, Huawei is moving its attention to the P-series – despite US sanctions disrupting its supply line, the company is on track to launch the P50 phones in the first half of 2021. This means the P-series may keep to its usual March/April launch time frame...
  17. Samsung S9, note 8 na A50

    Nataka tusaidiane na tupeane maarifa na ujuzi kuhusu Simu za samsung hasa hizi flagships za miaka ya nyuma kama S6, S8, Note 8 na S9 ambazo zinauzwa hapa Tanzania miaka kadhaa baada ya uzalishaji kupita! wauzaji wengi wanadai hizi simu wanazouza ni mpya.. yaani wameimport brand new phones kutoka...
  18. J

    Kioo cha Samsung S8+

    Natafuta mtu anayeweza kuniuzia kioo cha Samsung S8+ nna 230k
  19. T

    Samsung refurbished

    Samsung zilizoandikwa jina la toleo kwa nyuma ni rufurished phone? Mfano hapo juu galaxy s8+ Chief-Mkwawa Bavaria mtz one kcamp Nafaka mkorinto na wengine karibuni mtoe experience zenu kuhusu refurbished phones
  20. Samsung s6 ya kubadili kioo- nipe offer yako

    Nauza samsung s6 - kioo cha kubadilisha. Piga 0712 668190 unipe offer yako Mbezi kimara-Dar
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…