sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Wanawake waha 🙌🏻wapo unique sana

    Wadau, kama Kuna mtu ame notice hawa wanawake wa Kigoma waha wapo humble sana na pia ni wife material mno
  2. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Bado tupo kwenye narrow AI si ajabu tishio la AI kwa sasa halionekani kubwa sana kati yetu ila tunapo elekea wengi tutaimba wimbo mmoja

    Kwa sababu bado tupo kwenye AI dhaifu Narrow AI si ajabu watu wengi kuanzia humu ndani na duniani kwa ujumla kutokuona tishio kubwa lijalo la AI. Watu wakisikia AI akili zao zinaishia katika kujibu maswali,kuandika documents,kuchora picha hiyo ndio picha watu wanajenga kuhusu AI si ajabu fikra...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Trump anawadharau sana viongozi wa Ulaya

    Wanaukumbi. KILA BOSS ANA BOSS WAKE Viongozi wa Ulaya wakiwa wamepangwa kwenye korido ya Whitehouse Marekani wakisubili kikao na Trump. Hi fedhea aisee Je wangekuwa wa Afrika watu wamgeponda sana lakini wa Ulaya dunia ipo kimya, mtu kama Putin, huu upuuzi hataki kabisa. Trump, anawadharau sana...
  4. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Mashine ya Umeme ya Kunyoa (Electric Shaver)

    ✨ Mashine ya Umeme ya Kunyoa (Electric Shaver) ✨ ✅ Unyoaji safi bila maumivu ✅ Rahisi kubeba – inatoshea mfukoni ✅ Betri ya kudumu, chaji mara moja tumia muda mrefu ✅ Muundo wa kisasa na rangi mbalimbali 💰 Bei: Tsh 30,000/- 📍 Arusha Mjini 📞 0721 235 0159 (Piga/Wh
  5. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi wanawake wananyanyasika sana

    Kuna nchi wanawake wananyanyasika sana kama Saudi Arabia, Yemen Oman Iran.iraq Afghanistan UAE Qutar n.k.........
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mzize kwenda Kaskazini atafakari sana, ajifunze kwa kutumia makosa ya wenzake, Selemani Mwalimu, Chama na Miquison.

    Inasemekana kuwa Mwalimu amefeli kule Wydad. Selemani Mwalimu anarudi kucheza Simba kutoka Wydad kwa visingizio vyepesi kabisa kama walivyorudi wengine kutoka Afrika ya waarabu. Waarabu hawawezi kuvumilia kumsubiria mchezaji mweusi asiyewapa matokeo ya leoleo uwanjani. Wanaweza kumvumilia...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama viwe makini sana na hawa wahuni wa Chadema kwani wana nia ovu ya kuchafua amani na utulivu wa Nchi yetu

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema. Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
  8. F

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Anaandika bobi wine,aisee

    Ameandika Bobi Wine, Mwenyekiti wa Chama cha NUP na Mbunge wa zamani wa jimbo la Kyadondo. _________ Kwa huzuni kuu na mioyo mizito tunasikitika kutangaza kifo cha cha mpendwa wetu, mwanaharakati na rafiki, Marinos Alexandros. Marinos alitekwa nyara tar 30 Machi 2022 akiwa nyumbani kwake Mbuya...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Benki ya NBC ina mhudumu mmoja pamoja na kuwa na foleni

    Hivi mmekosa wafanyakazi?? Ama wafanyakazi wanafanya kaxi kwa mazoea? Hii mara ya tatu nimetoka hapo mlimancity tumepangana kama watu 12 mhudumu n mmoja tu huu n ushenzi Wewe unaepanga kutoa hela kuweka nenda sehemu zingine branch ovyo kabisa. Mbaya zaidi wanakuja wazungu ama wahindi...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kama 'Mtanzania Mganda' naomba Dua zenu leo Watanzania ili Uganda Cranes nayo ifuzu, kwani leo ina Mtihani mkubwa sana Mandela Stadium

    Yaani Timu zote Tatu zina nafasi ya kupita ila iIiyo tu Mtegoni hasa Kimahesabu ni Uganda (Uganda Cranes) mtuombee.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kabla ya 2012 shule nyingi zilikuwa zinatoa division one hadi three za kuhesabika. four na zero zaidi ya 90%

  12. Setfree

    JamiiForums Tanzania Tafadhali sana, kama hujui maana ya siasa usiandike mada za kisiasa!

    Within the interminably oscillating palimpsest of this terrestrial concatenation, where vicissitudes writhe in kaleidoscopic infinitude and temporality itself submits to recursive aberration, there subsists an anomaly of such preternatural incongruity that the multitudes, loquacious to the point...
  13. Cantona fundi mkuu

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza showcase (tv unit's) za kisasa kabisa kwa bei nafuu sana,,

    Mko poa maboss zangu.. Karibu tukupendezeshee seble yako kwa showcase za kisasa. Zipo za kuhamishika na zipo za kujengea ukutani. Bei hutokana na ukubwa uutakao boss.. Za kuhamishika zinazobeba na tv Bei huanzia laki 4na 80 had lak 6 na nusu ni kulingana na ukubwa wa showcase.. Pia za...
  14. Cantona fundi mkuu

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza showcase(tv unit's) za kisasa kabisa kwa bei chee karibu sana

    Mko poa maboss zangu.. Karibu tukupendezeshee seble yako kwa showcase za kisasa. Zipo za kuhamishika na zipo za kujengea ukutani. Bei hutokana na ukubwa uutakao boss.. Za kuhamishika zinazobeba na tv Bei huanzia laki 4na 80 had lak 6 na nusu ni kulingana na ukubwa wa showcase.. Pia za...
  15. Cantona fundi mkuu

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza showcase (tv units) za kisasa kwa bei nafuu sana

    Mko poa maboss zangu.. Karibu tukupendezeshee seble yako kwa showcase za kisasa. Zipo za kuhamishika na zipo za kujengea ukutani. Bei hutokana na ukubwa uutakao boss.. Za kuhamishika zinazobeba na tv Bei huanzia laki 4na 80 had lak 6 na nusu ni kulingana na ukubwa wa showcase.. Pia za...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Ombi la kuachiwa Lissu limefika mezani kwa Wakuu na linajadiliwa

    Habari za Jumapili! Najulishwa hapa Ombi la Kuachiwa Tundu Lisu Lipo meza ya Wakuu linajadiliwa. Kuona kama umuhimu wa kumuachia kabla ya septemba 7. Yapo makundi mawili; Kundi moja linasema akae mpaka baada ya uchaguzi. Kundi jingine linasema aachiwe tuu. Lakini nimejulishwa kuwa wapo...
  17. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA linapokuja suala la mashahidi kwenye kesi ya Lissu wanapaniki sana wanatamani wasiwepo, wanaogopa Nini au wanajua?

    Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu. Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama? Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua, ndoa ni kwa watu wenye akili nyingi sana au wenye akili kidogo. Wenye akili za wastani ndoa hawaiwezi

    Huo ndio mtazamo wangu,hutaki acha
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila wanangu hii JF ina mambo hata kama kuna watu wanatuangaliaga kama series huwa wanacheka sana na kutamani season mpya

    Mwamba anasema amejaribu kupata mtoto na mkewe kakosa, akapewa connection na jirani akajaribu kwa mganga ila bado chali alafu anamuambia jirani mtoa connection amjaribu yeye kama kweli atapata mimba, mara paaap jirani kapata mimba na mtoto hataki kutoa🤣🤣🤣 Ila sisi waafrika🚮🚮
  20. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Mungu anasema mamlaka zote zinatoka kwake anatuasa tuzitii na kuziheshimu. Kupitia hili TZ tuna watumishi wa Mungu wachache sana, wengi ni matapeli

    Mtumishi wa Mungu ni yule anayehubiri umoja, amani, mshikamano, na upendo kwa watu na Taifa lao na si vinginevyo. Ni aibu kwa mtumishi wa Mungu kuhubiri chuki, utengano, upotoshaji, uongo nk huyo si mtumishi wa Mungu ni tapeli yafaa achukuliwe hatua Kali za kinidhamu kwa mujibu wa sheria zetu...
Back
Top Bottom