Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Hivi mmekosa wafanyakazi??
Ama wafanyakazi wanafanya kaxi kwa mazoea?
Hii mara ya tatu nimetoka hapo mlimancity tumepangana kama watu 12 mhudumu n mmoja tu huu n ushenzi
Wewe unaepanga kutoa hela kuweka nenda sehemu zingine branch ovyo kabisa.
Mbaya zaidi wanakuja wazungu ama wahindi wanapelekwa moja kwa moja counter.
Mlio foleni mnambiwa subirini
Shaaaaaa
CC
MANAGER
DIR