KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,456
- 5,462
Zitaliwa na panya!Tunzeni hela makabatini
Zitaliwa na panya!Tunzeni hela makabatini
Au jengea chini ya sakafuZitaliwa na panya!
Ukifa ndo zimepotea hizo!Au jengea chini ya sakafu
Ukifa ndo zimepotea hizo!
Hao wanatoa posho 😀,bila posho Benki za eneo hasa Kariakoo huduma utasikia tuHivi mmekosa wafanyakazi??
Ama wafanyakazi wanafanya kaxi kwa mazoea?
Hii mara ya tatu nimetoka hapo mlimancity tumepangana kama watu 12 mhudumu n mmoja tu huu n ushenzi
Wewe unaepanga kutoa hela kuweka nenda sehemu zingine branch ovyo kabisa.
Mbaya zaidi wanakuja wazungu ama wahindi wanapelekwa moja kwa moja counter.
Mlio foleni mnambiwa subirini
Shaaaaaa
CC
MANAGER
DIR
Unaweka mazingira mazuriitaliwa na nyenyereee
MKUU SASA NAKUELEWAHao wanatoa posho 😀,bila posho Benki za eneo hasa Kariakoo huduma utasikia tu