Tokea nimalize kuangalia GOT bado hakuna series iliyo attract my attention Sana mpaka nilipokutana na hii Series.
Kisa Ni Black man jamaa anaitwa Atticus alitoka jeshini south Korea, enzi hizo za ubaguzi wa rangi uliokithiri, kwa ajili kwa kuja kumtafuta baba yake aliekuwa kapotea, Sasa kafika...