serikali

  1. W

    Serikali iache kujaza vyuo mikoa michache, Ni upendeleo wa wazi kutumia rasilimali za taifa kujenga vyuo mikoa michache huku mikoa mingine hakuna vyuo

    Muhimu: Ni nje ya vyuo kama open university chenye matawi kila mkoa, Pia kwa vyuo vya kati vya ufundi, nursing, ualimu, utalii, hotel management, n.k. Tanzania Bara kuna mikoa 26 inayoshiriki kuchangia pato la taifa lakini cha kusikitisha vyuo vya serikali vipo concetrated sehemu chache Dar es...
  2. Zitto Kabwe: Tangu Mbowe anifukuze nimeanzisha Chama na Kinaongoza Serikali Kina Wabunge Wengi Zaidi yake nimestaafu na Sasa nalima Kahawa

    Mbowe ameumiza watu wengi sana kwenye hizi siasa za Upinzani safari hii asiruhisiwe kabisa. Mzee Mbowe Kamfukuza Zitto Kabwe Kisha jamaa kaanzisha chama Cha ACT Wazalendo Sasa Kinaongoza Serikali na kaamua kustaafu Mzee Mbowe yeye bado anafukuzia miaka ya MKwewe ili kustaafu (68)
  3. N

    Magambo kutoka Geita, kawafunika wote waliopewa mikopo na serikali

    Nipo hapa nafuatilia mkutano mkuu wa CCM. Magambo ndie msanii peke yake aliyeimba vizuri, msanii asiyebana pua, rapper kutoka mchangani lakini amewafunika wote jukwaan, kawafunika woote hao wasanii walipewa mikopo na serikali. Amewazid wote mpaka huyo almas, na tembo na kiba APEWE mkopo haraka...
  4. Serikali pangisheni yaliyokuwa majengo ya Wizara na Taasisi mbalimbali DSM vijana tupate ofisi na ninyi mpate kodi

    Ni zaidi ya miaka 5 sasa toka Rais JPM alipoagiza Wizara zote za Serikali kuhamia jijini Dodoma yalipo makao makuu ya nchi. Agizo la rais ni sheria, hibyo lilitekelezwa kwa ukamilifu na sasa Wizara karibu zote zimehamia Dodoma ambapo zina majengo katika mji wa serikali Mtumba. Kwa miaka yote...
  5. B

    Serikali imsaidie binti huyu alie katika hatihati ya kuacha masomo ya Chuo kikuu Kwa sababu ya kuponzwa na Shule za private

    Kazaliwa 2003. Chekechea na Primary: Shule ya English Medium... O- level : Private Advance : Private. Kafika chuo kanyimwa bumu( boom) Hajawa allocated. Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo...
  6. Serikali ya CCM: Punguzeni gharama za Mafuta ya Kupikia, bei zinapanda kwa kasi!

    Hivi, serikali inayowajali watu inaowaongoza na kuwasimamia, kweli inakosa mbinu za kuhakikisha bidhaa muhimu kama mafuta ya kupikia inashuka bei ili kupunguza gharama za maisha? Sababu kuu ya kupanda kwa gharama za vyakula mitaani ni mafuta ya kupikia kuwa juu mno. Kwa mfano, maeneo ya mama...
  7. Kwa Nini Tanzania tunahitaji Kuwa na Serikali Tatu

    Tanzania ni nchi yenye historia ndefu na utajiri wa tamaduni mbalimbali, zinazochangia umoja wa taifa. Hata hivyo, kuna hoja inayozidi kujitokeza kuhusu ufanisi wa mfumo wa utawala wa sasa wa nchi, hasa kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Ni suala la wazi kuwa Muungano huu umeleta...
  8. U

    Waziri wa usalama itamar ben gvir chama chake kujitoa Serikali ya mseto Israel apinga mkataba kusitisha vita utakaoruhusu magaidi wakubwa kuwa huru

    Wadau hamjamboni nyote? Itamar ben gvir ni waziri wa usalama Israel na Kiongozi wa chama cha Otzma Yehudit Anapinga makubaliano kusitisha vita na Hamas akidai Hamas watanufaika zaidi kwani magaidi 1,700 wataachiwa huru na hivyo kwenda kujipanga upya Asema kuwa makubaliano haya yanafuta...
  9. Wanafunzi wa boarding jiheshimuni! Serikali inaweka kumbukumbu za wanafunzi wote Tanzania. Msijiharibie future

    Wanafunzi JIHESHIMUNI sana serikali haipotezi kumbukumbu kamwe daima dumu mkifanya Boko kwenye shule yenu au mwaka wenu basi kizazi chenu kinawekwa kwenye kumbukumbu za kutoajirika au kuajirika kwa scrutiny kubwa sana.
  10. Klabu ya simba inachofanya ni utapeli serikali iingilie kati wajinga wanaibiwa

    Viongozi wa hii taasisi wameanzisha kampeni ya utapeli ambayo sisi kama raia wema tunaomba serikali yetu tukufu iingilie kati sababu raia masikini wanakamuliwa bila kujitambua yaani wanampa tajiri pesa unaambiwa wanachangisha milion 100 ila je inayozidi inaenda wapi kama sio Kwa matapeli ambao...
  11. Serikali ya awamu ya sita imetekeleza Ilani Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 katika Eneo la Umwagiliziaji kwa asilimia 82 mpaka sasa

    Serikali ya awamu ya sita imetekeleza Ilani Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 katika Eneo la Umwagiliziaji kwa asilimia 82 mpaka sasa. Lengo lilikuwa ni Kuongeza eneo lenye miundombinu mpaka kufikia hekta 1,200,000 ifikapo mwaka 2025 Ambapo hadi mwaka 2024 Eneo la umwagiliaji...
  12. W

    Kuna ukweli kukiwa na serikali ya majimbo ndio mwanzo wa kuigawa Tanzania kwa misingi ya ukabila na dini ?

    Mfano kwa hapa Tanzania kila mkoa uwe na serikali yake, Kuna ukweli huu mfumo unaweza kuleta ukabila au udini ?
  13. Serikali na TRA wekeni utaratibu wa kupata Kodi ya bodaboda

    Bodaboda ni sekta rasmi Kwa Sasa. Ni dharau kubwa Kwa bodaboda ambao kwasasa wapo zaidi ya watu million 10 hawa watu wote kila mtu akilipa elfu 10 Kwa mwaka ni pesa ndefu Kulipa Kodi ni jukumu la kila anayeingiza kipato Kama serikali inatoza Kodi mlinzi wa SUMA JKT, mwalimu, police, nurse n...
  14. Kabla hujanunua hati fungani za serikali, zingatia haya

  15. Trump: Kwenye serikali yangu hatuhitaji umeme wa upepo, ni umeme ghali sana. Hatutashiriki hata mara moja kujenga mitambo ya umeme wa upepo.

    Rais mteule wa Marekani ameonya kwamba kwenye serikali hakutakua na muendelezo wa ujenzi wa umeme wa upepo. Trump anasema umeme wa upepo ni umeme ghali sana. Ni umeme unaotegemea ruzuku, bila ruzuku hakuna mtu anaweza kumudu kununua umeme wa upepo. Trump anauliza ni nishati ya namna gani hiyo...
  16. Enyi Serikali hivi vifo visivyoeleweka vya Watanzania wenzetu huko Nje ya Nchi, Muwe mnavifatilia, kila Nafsi ya Mtanzania iwe yenye thamani

    Msituletee Habari za Vifo tu vya Viongozi kufia Nje ya Nchi walipokua wanatibiwa. Na Watanzania hawatakiwi Kuogopa Et kufanya kazi Nchi za waarabu ni hatari, Kuna kuuwawa n.k Dunia iliingia mikataba ya Kimataifa Kwa pamoja kuhusu haki ya kuishi ya kila mwanadamu na haki hizo lazima...
  17. P

    Anahitajika mwalimu wa English language., Shule IPO wilaya ya chemba mkoa wa dodoma (Kijijini sana) ila umeme na maji vipo. ..Pia shule ni ya serikali

    Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo) Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree 0695252896
  18. Hivi serikali haioni hawa wanawake wanaocheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko?

    Sijui ni Mimi mwenyewe naona au hata nyie watanzania wenzangu.naona hii michezo ya wanawake hasa mabinti wadogo wadogo kucheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko mitaani hasa kwa Jiji la daresalam ikizidi kukuwa kwa kasi . Mkuu wa mkoa yupo , Wakuu wa wilaya wapo na viongozi wote wa serikali...
  19. M

    Pre GE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

    Leo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje. Amesema kipindi Wenje kachukua fomu ya umakamu mwenyenyekiti alijaribu kumconsult Wenje kuhusu jambo hilo na kumshauri asitishe...
  20. Serikali ya Samia kuingilia Mahakama na Rushwa ya Mazingira - Ushahidi huu hapa

    Itakumbukwa Mbowe alikamatwa Mwanza na kufunguliwa kesi ya uchochezi na uhaini na kukaa rumande kwa miezi nane (8). Kesi ya awali ilisikilizwa na Jaji Siyani ambaye baada ya kumkuta Mbowe ana kesi ya kujibu alipandishwa cheo na kuwa Jaji Kiongozi. Cheo hiki kilikuwa shukrani ya serikali ya Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…