soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. Mtazamo: Simba SC Wamekosea Kuajiri Kocha Asiye na Uzoefu wa Soka la Afrika.

    Sote tumeona aina ya Kocha ambaye ameajiriwa na Simba SC. Kocha ambaye amechukua nafasi ya Didier Gomes. Tukiamua kutumia jicho la tatu la kiuchambuzi kila anakubariana na mimi kuwa Simba SC inaenda kupitia changamoto nyingine ya kibahati nasibu. Uzoefu:- Yes anauzoefu wa kufundisha katika...
  2. M

    Simba SC ikifanya haya tu Mashabiki wake wataendelea Kunenepa na itarejea katika Soka lake lile la uhakika huku wakiyasahau Machungu yote

    1. Ikubali kuwa Msimu huu Yanga SC imesajili vyema na imedhamiria Kivitendo kufanya vyema na kuwa Mabingwa wa NBC Premier League.. 2. Ikubali kuwa Msimu huu imesajili Kimihemko na vibaya zaidi kama walivyowahi kufanya Wapinzani wao Yanga SC kwa Misimu Miwili mfululizo hivyo wanatakiwa (...
  3. Kuna yapi ya kuzungumza zaidi ya mpira? Mpira wa miguu ni uraibu mpya unaoongezeka kwa kasi

    Nchi yetu sasa imeingia rasmi katika ulimwengu wa uvuvuzela wa mpira. Kama vile ulivyo uraibu wa pombe, ngono, sigara n.k Idadi kubwa ya raia wa nchi kwa sasa wanalala wanazungumza mpira, wanaamka wanazungumza mpira na wanashinda wanazungumza mpira. Bahati mbaya sana mpira wenyewe ambao...
  4. Leo natangaza rasmi kuacha kushabikia soka la Tanzania

    Leo hii tarehe 26/10/2021 mimi Chaliifrancisco nikiwa na akili timamu kabisa natangaza kusimama kufuatilia na kushabikia mpira wa hapa kwetu Tanzania. Kama nitakuja kushabikia tena sijui lakini itategemea na tathmini nitakazofanya mwenyewe nikiridhishwa nitaamua. Sababu zilizofanya nifikie...
  5. Vodacom wameingia kwenye kamari ya wizi na soka letu. Achení wizi

    Nimejitoa mara nyingi kwenye huduma yenu hii ya soka letu. Na wala sikumbuki kuwahi kujiunga k ***** zenu. Kila nkijitoa mnanirudisha . Nikiweka pesa automatically inakatwa. Acheni upumbavu huu wapumbavu nyinyi. Nimechoka. Hakuna swali lolote nlijibu m k ndu nyie. Nrudishieni pesa yangu.
  6. Kuuliza si ujinga, ile tuzo aliyopewa Waziri Mkuu ilitokana na nini?

    Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kasimu Majaliwa ni miongoni mwa wadau walioambulia Tuzo kutokana na mchango wao kwenye maendeleo ya soka la Tanzania , tunashukuru sana kwa waliompa tuzo hiyo kwa kutambua mchango wake ambao sisi wengine hatujawahi kuuona. Bali sisi watu wa soka tunataka kujua ni kipi...
  7. M

    Wavulana wa soka wa Jangwani msione vibaya kuwapigia makofi wanaume wa soka wanaokipiga leo, kesho na keshokutwà dimba la kimataifa!

    Baada ya kuangukia pua mapema wavulana wa soka wa utopolo msione vibaya kuwashangilia na kuwapigia makofi wanaume wa soka la Tanzania kuanzia Biashara leo, Azam kesho na kisha baba lao wekundu wa msimbazi siku ya jumapili. Inabidi mfanye hivyo tu maana ushindi wao ndio mbeleko yenu ya...
  8. Wataalam wa sheria na kanuni za soka msaada wenu unaitajika

    Let say mchezaji X ana kadi mbili za njano alizopata kwenye mechi zilizopita katika ligi .kanuni zinasema ukifikisha kadi tatu za njano,hautacheza mchezo unaofuata.swali,ikitokea mchezaji X akapata kadi mbili za njano na red card kwa mchezo unaofiata ke zile yellow card mbili za awali zotafutika...
  9. K

    Kama wewe ni Mdau wa soka Tanzania tuungane kuiombea Dua Yanga dhidi Ya Rivers Ishinde

    Asubuhi tu ..! Wakati Simba S.S.C Inaenda Kuadhimisha Siku Ya Wenye Nchi..! OMBI ... Nchi nzima Ya Tanzania Kokote mlipo tuweke Utani wa Jadi Pembeni. Haya ni Mapambano Ya Nchi dhidi Ya Nchi nyingine. TUIOMBEE Yanga Afrika ISHINDE....! Kwa nini nasema hivyo? Katika Nafasi 4 za Tanzania CAF...
  10. Soka sasa ina mashabiki wengi sana, imeanza ku-overtake Bongo Flava

    Mpira umeanza kuwa na mashabiki wengi sana hapa bongo ushaanza kuovertake bongo flavor usishangae baada ya miaka kadhaa bongo flavor ikageuka kuwa bongo movie kwa kukosa mashabiki. Wasanii angalieni hili kwa jicho la tatu Now kila mtu anashabikia mpira ata ambaye hajui mpira bongo now kuna...
  11. Kitendo cha Mashabiki wa Yanga kuonyesha picha ya Mwenyekiti wa CCM kwenye tamasha lao kilaaniwe na wapenda soka dunia nzima

    Hili jambo halikubaliki na likemewe kwa nguvu zote na TFF na mamlaka zingine , michezo ndio eneo pekee linalokutanisha wananchi wote na wenye itikadi tofauti , kuingiza siasa za ccm ni kuleta mkanganyiko wa kijinga sana . Wako wana Yanga kibao ambao si wanaccm , siku wakiamua kupeperusha...
  12. Tukumbushane Majina (nick names) ya timu za taifa mpira wa miguu

    Sio mbaya leo weekend tukakumbushana majina mbadala ya timu za mpira wa miguu hasa za bara letu la Afrika. Itapendeza Ukataja bila kuzama Google we taja ukikosea watakuja wengine kufanya marekebisho ukitwambia na maana yake itapendeza zaidi,kwa kuwa mfano naanza Mimi. Taifa Stars - Tanzania...
  13. P

    TANZIA Mwalimu Alex Kashasha, mchambuzi nguli wa Soka afariki dunia

    Mchambuzi nguli wa habari ya michezo maarufu kama mwalimu Kashasha amefariki dunia hivi punde alipokuwa amelazwa hospitali ya Kairuki. Chanzo mimi mwenyewe niko eneo la tukio. ---- Mchambuzi nguli wa soka nchini Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 akipatiwa...
  14. Utata wagubika soka ya Hispania. Real Madrid na Barcelona watishia kugoma mechi zao kuoneshwa

    Soka la Hispania lipo chini ya Shirikisho lao la soka RFEF, ambao wao wana LA LIGA kama chombo huru kinachosimamia Ligi kuu na Daraja la kwanza Sasa kutokana na uhuru huo LA LIGA chini ya Javier Tebas wana mambo mengi wanafanya kinyume na mitazamo ya wengi, huku wakisema ni kibiashara zaidi...
  15. Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 06.08.2021: Messi, Kane, Lukaku, Correa, Trippier, Aouar, Abraham, Armstrong

    Tangazo la Barcelona kwamba mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 34, hatabakia kwenye klabu hiyo ''limefungua mlango wa uhamisho wa kushtua " katika Manchester City. (Manchester Evening News). Uwepo wa Messi unaweza kuathiri uwezekano wowote wa uhamisho ambao Man City walikuwa...
  16. S

    SoC01 Vikwazo kwa Wanasoka Vijana wa Tanzania katika kucheza soka la kulipwa nchi za nje

    Soka ( ama mpila wa miguu ) ni moja kati ya michezo inayopendwa na kufuatiliwa sana ulimwenguni kote, Mchezo huu una wafuasi wengi zaidi ya michezo mingine duniani, Vijana mbali mbali duniani wamekuwa wakifaidika, kuwa maarufu na kujipatia maendeleo kupitia soka, vivo hivyo , Ndizo ndoto za...
  17. Soka la Zanzibar lazidi vituko, timu yashinda 50-0, nyingine 46-0 zikiwania kupanda daraja la kwanza

    Na @abubakarkisandu Zanzibar. Jana katika Michezo ya mwisho ya kuitafuta timu moja itakayopanda Daraja la Kwanza Kanda Unguja kutoka Ligi ya Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo Mchezo nambari 113 ulichezwa katika Uwanja wa Mau B timu ya Umoja wa Mbuzini ilishinda jumla ya mabao 50-0 dhidi ya New...
  18. Mabadiliko sheria tano za soka kutoka FIFA, kuchezwa dakika 60, kadi za njano na mengine

    Shirikisho la mpira wa miguu ulimwenguni FIFA, lipo katika kufanya majaribio ya mabadiliko ya baadhi ya sheria ambazo huwenda zikaja kuanza kutumika siku za usoni huku lengo kuu ikiwa ni kuuboresha zaidi mchezo huo pendwa. Majaribio hayo yameanza kufanywa kwenye Mashindano ya Vijana...
  19. Maisha ya soka ya Leonel Messi

    Lionel Andrés Messi alizaliwa 24 Juni 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Argentina anayecheza katika klabu ya Barcelona F.C. iliyopo nchini Hispania na timu ya taifa ya Argentina. Mara nyingi huchukuliwa kuwa mchezaji bora wa muda wote, Messi kafanikiwa kuchukua tuzo za Ballon d’Or mara...
  20. Maisha ya soka ya Cristiano Ronaldo

    Cristiano Ronaldo na mkewe Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro alizaliwa kwenye kisiwa cha Madeira, Ureno, 5 Februari 1985) ni mchezajisoka wa Ureno. Nafasi yake ni ushambuliaji; kwa sasa anacheza nchini Italia katika klabu ya Juventus na timu yake ya taifa. Mara nyingi huchukuliwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…