soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. Mafuta yanapanda bei kwenye soko la dunia

    Mwezi Juni 2023 mafuta kwenye soko la dunia yalikuwa 70 USD, mwanzo wa mwezi Septemba yamefika 90 USD. Inakadiriwa kufikia mwisho wa mwaka huu pipa litakuwa 120 USD bei iliyokuwepo kabla ya janga la COVID 19. Hii inetokea baada ya OPEC na wazalishaji wengine wa mafuta kupunguza uzalishaji na...
  2. Kumbe wanajeshi hawatanii, leo wamepita Soko la Mchafukoge kuchukua nguo zao

    Jeshi namba sita duniani kwa vifaa, bajeti, nidhamu, utiyari, misheni, rekodi nk leo limeanza utekelezaji wa kuchukua nguo zao mitaani. Majira ya asubuhi walikiwa soko la nguo mchafukuoga wakikusanya Mali zao, kwa bahati nzuri zoezi lilikuwa la amani japo wafanyabiashara walipata hasara maana...
  3. Elimu zaidi kutolewa na soko la bidhaa Tanzania (TMX)

    Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), litaendelea kutoa elimu na kuwafikia wadau wengi zaidi ili wafahamu mchango wake katika uchumi wa nchi. Hayo yamebainishwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Bidhaa Tanzania, Godfrey Malekano alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam...
  4. Naibu Waziri Mhe. Kigahe Awataka Wafanyabiashara Kutumia Fursa ya Soko Huru la Afrika

    Naibu Waziri Mhe. Kigahe Awataka Wafanyabiashara Kutumia Fursa ya Soko Huru la Afrika Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amewataka wafanyabishara, wajasiriamali na makampuni mbalimbali kutoka nchi za Afrika Mashariki kuonyesha bidhaa zao,kujitangaza na kukuza soko la...
  5. Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

    Wakulima wengi wa nyanya wanapata hasara kutokana na kuzalisha nyanya ambazo zimezidi mahitaji ya soko au Sababu nyingine ni uhaba wa masoko ,Kiasi kikubwa cha nyanya zinaoza shambani au sokoni ni kwa sababu wakulima wengi hawana/hawajui jinsi ya kuhifadhi nyanya zao Kwa utafiti wangu...
  6. Natafuta soko la Mashati ya shule (Tomato)

    Wakuu natafuta soko la mashati meupe ya shule, ya mikono mirefu na mifupi. Nauza kwa bei ya kiwandani , kuanzia dozen 50. Nipo Dar. Kuna Size Small Medium Large, 38, 40,42 na 2, 3, 4 . Toa oda tufanye biashara
  7. RC Chalamila asitisha uzinduzi wa Soko la Zakhiem baada ya kushtukia upigaji kodi za Vizimba

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, amesitisha uzinduzi wa Soko la Mbagala Zakhem baada ya kubaini uwapo wa madalali waliochukua fedha za watu kwaajili ya kuwauzia vizimba. Kufuatia taarifa hizo, Chalamila ametoa wiki moja na kumuagiza Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kwa kushirikiana na...
  8. DOKEZO Mkuu wa mkoa wa Dar, wadhibiti wanaotaka kujigawia soko la Mbagala Zakhiem kinyume na utaratibu uliopangwa na Manispaa

    Ujenzi wa uboreshaji soko la Mbagala Zakhiem umekamilika na wafanyabiashara wa soko hilo walitegemea warejeshwe kwenye soko hilo kulingana na utaratibu waliopewa kabla ya ujenzi, kinachoendelea hivi sasa ni wamejitokeza viongozi wanaotaka kuvuruga utaratibu wa kuwarejesha wahusika ili wajigawie...
  9. Dar: RC Chalamila amevunja Uongozi wa Soko la Mabibo na kukabidhi kwa Manispaa ya Ubungo

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo August 17, 2023 amevunja uongozi wa Soko la Mabibo na kukabidhi soko hilo kwa Manispaa ya Ubungo. Soko hilo lililokuwa likimilikiwa na kikundi cha watu wachache nakupelekea kuwepo kwa changamoto mbalimbali ambazo Mkuu wa Wilaya Mhe. Hashim...
  10. Waziri Ashatu Kijaji: Limeni Miwa kwa Wingi Soko la Miwa Limekuwa Kubwa

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - LIMENI MIWA KWA WINGI, SOKO LA MIWA LIMEKUWA KUBWA Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewataka wakulima wa miwa kuendelea kulima miwa kwa wingi kwani soko la miwa limekuwa kubwa kutokana na ongezeko la viwanda vya sukari nchini. Dkt. Kijaji...
  11. N

    Kariakoo pako hovyo hapaeleweki kama sio soko kuu la nchi na majirani

    Nimepita leo kariakoo inasikitisha kweli hata pa kupita hamna kila sehemu chinga wamepanga vitu vyao. Hivi hata kuwapanga chinga hatuwezi. Dar ni hub zaidi ya nchi 8 zinategemea pale hivi tumeshindwa kweli kutengeneza sehemu ya kuvutia iwe soko la kuwavutia wafanya biashara wa nchi zaidi ya...
  12. SoC03 Tambua fursa ya biashara kutoka kwenye soko la hisa na Faida ya kubadilisha Sheria ya Foreign Exchange Act ya 1992

    Hisa ni sehemu ya umiliki katika kampuni. Kwa kumiliki hisa, mtu anakuwa mwekezaji katika kampuni na anapata haki za kifedha na kisera katika kampuni hiyo. Kuwekeza katika soko la hisa kunatoa fursa kwa Watanzania kuwa sehemu ya umiliki wa makampuni na kupata faida kutokana na mafanikio yao...
  13. Hawa ndio matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania,

    Nimekuwekea list ya matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania. Matajiri wenye hisa nyingi kwenye makampuni makubwa Tanzania. Watanzania wenye asili ya hapa kwetu wapo wanne tu Hans Macha Ernest Massawe Arnold B.S Kilewo Harold Temu...
  14. G

    SoC03 Wahitimu kutoka kaya masikini wapewe kipaumbele kwenye soko la ajira

    KUCHOCHEA USAWA WA AJIRA: WAHITIMU MASKINI WAPEWE KIPAUMBELE KWENYE SOKO LA AJIRA. KWA KUIGA MFANO WA TASAF UTANGULIZI: Katika juhudi za kujenga jamii yenye usawa na maendeleo, ni muhimu kuangalia njia za kuwezesha wahitimu kutoka kaya maskini kupata fursa sawa za ajira. Programu ya Tanzania...
  15. SoC03 "Wazee wa cha juu" : Jinsi udalali unavyoua soko la ndani

    Maisha ya kawaida ya mtanzania ni pamoja na uwakala wa bidhaa na huduma au maarufu kama ujulikanavyo "udalali". Tangu kupanda kwa jua mpaka machweo yake, watu wanatafuta masoko ya bidhaa zao ama fursa mpya --waitavyo wenyewe "chimbo" . Lakini mimi binafsi bwana kuna jambo moja linalonikera...
  16. Hizi ndizi kozi zenye soko katika ajira nchini

    Ukiondoa priority course(kozi pendwa) Kuna hizi kozi zenye upana wa Ajira, Upande wa Afya na uhandisi. Electronics& communication (Self) Computer &IT Civil Eng, Electrical Eng, Mechanical Eng, Biomedical Eng, MD(Medical Doctor) Med laboratory (Bach), Pharmacy, Nursing, Clinical Medicine...
  17. Soko la mapenzi limekuwaje, mbona halieleweki kabisa?

    Kwani soko la mapenzi limeingia mchanga au limevaa ndondo cup Siku hizi bwana mpaka umpate mwanaume anakutongoza, nenda kanisani ukatoe sadaka kabisa Ukipata hata mwanaume anakupeleka kwake ushukuru Mungu Ukipata mwanaume anakununulia hata maji ya kunywa basi nenda Kwa Yatima Katie sadaka...
  18. G

    Halmashauri ya Ilemela yaelekeza wafanyabiashara soko la Sabasaba kutupa takataka barabarani

    Halmashauri ya Ilemela mkoani Mwanza imelekeza uongozi wa soko la Sabasaba lililopo maeneno ya Kiseke kutupa takataka barabarani baada ya eneo walilokuwa wanatumia awali kupewa mwekezaji. Takataka hizo zinatupwa barabarani katika makazi ya watu na karibu na mama ntilie kitendo kinachoweza...
  19. I

    Watanzania matajiri wakubwa katika soko la hisa la Dar es Salaam

    Wajue watanzania matajiri wanaomiliki hisa katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) na wewe jitahidi uwemo. https://billionaires.africa/2023/06/29/the-10-richest-tanzanians-on-the-dar-es-salaam-stock-exchange/
  20. E

    NEMC soko la Kilombero Arusha makelele mpaka Mto wa Mbu

    Mjipime....sio kukurupuka jikiteni huko Magomeni na Unga ltd
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…