soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. Soko jipya la Mbagala Zakhiem halikidhi haja, limejengwa chini ya kiwango pia wafanyabiashara wa mwanzo wamenyimwa fremu.

    Soko jipya lililopo Mbagala Zakhiem limejengwa kwa gharama ya sh. 2Billion, ujenzi uliofanyika umeweka vifremu vidogo vidogo ambavyo havikidhi mahitaji ya wafanyabiashara. Fremu nyingi wamegawiwa watu ambao hawakuwepo awali japo mkuu wa mkoa aliahidi wafanyabiashara wa mwanzo ndio watakaopewa...
  2. Soko la mafuta ya kujipaka mwilini Vaselline limeingiliwa, Mtaani nimeuziwa sana mafuta feki, Hatimae nimejua pa kuyapata Original

    Nasikitika sana kuona hakuna udhibiti wa bidhaa feki hasa kwenye bidhaa za mwilini, bidhaa halisi na bora zinapotezea sokoni badala yake bidhaa feki zimetawala soko la nchi. Miaka nenda rudi haya ndio mafuta nayoyapenda kujipakaa mwilini sambamba na sabuni ya kuogea ya Imperial. Kuingiliwa kwa...
  3. Hivi ndivyo soko la ndani linavyotengenezwa na kukuzwa

  4. Mkubwa siku zote hubaki mkubwa, mashindano ya Yuan, Ruble kuipokonya soko Dollar ya marekeni kiko wapi?

    Mashabiki wa Putini na China, vipi kuhusu Ruble na Yuan zimefikia wapi sokoni? Vipi, Dollar imeanguka? Mzungu atabaki mzungu tu! Nimekuwa nikijiuliza, siku Marekani aache kabisa kutoa misaada yoyote duniani awe kama nchi zingine, kila kitu afanye kwake tu! Sjui china na Urusi watafanya...
  5. Familia za wavivu wengi zimesababisha soko la wanawake wa kuolewa na wanaume wa kuoa liwe gumu sana. Watu wanaogopa kupata wakwe na mashem wategemezi

    Habari wadau. Ukweli mchungu soko la mwenza wa ndoa limekuwa gumu sana Tanzania hasa kwa watu wanaojielewa na waliojipata. Mtu kuoa ama kuolewa anatazama mwenza wake yukoje , kwao anapotoka pakoje, na ndugu zake ama ukoo wake ukoje? Je wana maisha ya kujitegemea. Yale mambo ya kuoa mwanamke...
  6. L

    CIIE yasaidia bidhaa za kilimo za Afrika kuingia katika soko kubwa la China

    Alfajiri na mapema kwa saa za Kenya, wakulima wa maua nchini humo walichuma waridi katika mashamba yao yaliyoko Naivaisha. Kutokana na ndege za moja kwa moja kati ya Kenya na China na njia maalumu ya forodha nchini China kwa bidhaa za Afrika, maua hayo yanaweza kufika mikononi mwa wateja wa...
  7. L

    CIIE ni jukwaa bora kwa nchi za Afrika zilizojiunga na BRI kuingia kwenye soko la China

    Kutoka mpunga chotara hadi nyasi za juncao, kutoka maeneo ya kielelezo ya kilimo hadi vijiji vya kielelezo vya kuondokana na umaskini... katika miaka ya hivi karibuni, China na Afrika zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kilimo kutokana na msukumo wa mifumo mbalimbali kama vile Pendekezo la...
  8. Utoroshwaji wa dhahabu Wilayani Chunya nini kifanyike?

    Kufuatia taarifa iliyotolewa tarehe 28/10/2023 katika Mkoa wa Mbeya wilaya ya Chunya. Kuhusu wachimbaji kukutwa na vipande 160 vya dhahabu, walivyokuwa wakivitorosha kwenda kuuza nje ya mfumo rasmi. Ni malalamiko ya wachimbaji wengi kuwa mfumo rasmi wa ununuzi wa dhahabu umekuwa na ushuru...
  9. Azuma na P2 zimeteka soko la madawa muhimu ya binadamu kwa sasa

    Dawa hizi muhimu za binadamu zinauzika mno mtaani, mijini na vijijini. Soko lake ni pana na kubwa mno kwa sasa. Store hazikai kabisa, mzigo unatembea fasta mwendo wa ngiri kwenye soko la madawa muhimu ya Binadamu. Wateja wake wengi sana ni watu wa rika zote. Wabishi kwenda hospital wao...
  10. Moto Wateteketeza Bidhaa za Wafanyabiashara Karibu na Soko Kuu Katavi

    Moto mkubwa umeibuka katika maeneo ya karibu na soko kuu lililoko manispaa ya Mpanda mkoani Katavi na kuteketeza mali zinazotajwa kuwa na thamani ya Shilingi milioni tano ambapo jeshi la zimamoto na uokoaji limefanikiwa kuuzima moto huo. Shabani Hassani ni shuhuda wa kwanza kuuona moto huo na...
  11. S

    Wafanyabiashara wa soko la SIMU2000 wagoma asubuhi hii, Oktoba 19, 2023

    Baada ya kutokea sintofahamu hali ni kama ilivyo hivi sasa === Wafanyabiashara wa Soko la Simu 2000 lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam mapema Leo, Alhamisi Oktoba 19, 2023 wameandamana sambamba na kufunga Barabara wakishinikiza Mamlaka za Serikali kuwapatia taarifa...
  12. Tabora: Rais Samia atoa bilioni 4 ujenzi wa soko la kisasa Nzega Parking

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 4 kwa ajili ya Ujenzi wa Soko la kisasa la Nzega Parking mkoani Tabora Ili kuwezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao kwenye mazingira bora. Rais Dkt, Samia ametoa fedha hizo alipotembelea soko hilo kufuatia...
  13. Acheni wakulima wauze mahindi kwa wateja kwa bei ya soko

    Waziri Hussein Bashe alikuwa na msimamo mzuri kuanzia alipoteuliwa kuwa Waziri wa Kilimo kuhusu kufungua mipaka kwa wageni kuja kununua mazao ya kilimo nchini. Hii ilikuwa ni furaha kwa wakulima wetu, lakini miezi kama 6 tu iliyopita kwa kelele za Watanzania wavivu wakaiyumbisha Serikali mpaka...
  14. L

    Ustawi wa soko katika siku za mapumziko wathibitisha ufufukaji wa Uchumi wa China

    Katika siku nane za mapumziko ya Siku ya Taifa la China, watu wameshuhudia ustawi wa soko, kwani mamilioni ya watu wamefanya utalii, na wateja walijaa kwenye maduka na mikahawa. Kuongezeka kwa shauku ya watumiaji kwa mara nyingine tena inaonyesha uthabiti mkubwa na uhai wa uchumi wa China, hivyo...
  15. Uuzaji wa akaunti za mitandao ya kijamii: Je, zinakidhi malengo ya soko la mnunuaji?

    Watu wengi, taasisi, na makampuni wanazidi kuhamishia shughuli zao kwenye mitandao ya kijamii kila siku. Lakini kujiunga na majukwaa hayo na kukuza akaunti kutoka wafuatiliaji 0 hadi, labda tuseme 10,000, inahitaji jitihada na muda mwingi, na hilo limeacha watu wengi wakijiuliza, "je, naweza...
  16. A

    DOKEZO Soko la Karume (Dar) kuna dalili za rushwa, TAKUKURU ije ikague mapato na matumizi ya makusanyo

    Kero yangu kubwa ambayo naomba jamii itambue ni kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ni kwamba Soko la Karume tunachanga michango mingi kama pesa ya usafi na ulinzi lakini hutujawahi ona mapato na matumizi ya pesa zetu zinaendaje. Naomba kufikisha ujumbe huu kwa Serikali Kuu kupitia...
  17. CCTV Camera zafungwa Soko la Mchikichini Karume (Dar) kubaini wanaochoma moto masoko

    Kufuatia mfululizo wa matukio ya moto ambayo yaliyokuwa yakitokea kwa nyakati tofauti kwenye soko la Mchikichini eneo la Karume, Dar es Salaam kwa sasa soko hilo linadaiwa kuja na mikakati mipya kwa lengo la kuthibiti matukio hayo yasitokee na hata yakitokea kusiwepo na athari kubwa zaidi kama...
  18. K

    Natafuta soko la oil chafu

    Natafuta sehemu wanaponunua oil chafu bei iwe inayoridhisha... Natanguliza shukrani.
  19. NSSF na PSSSF zipambane soko moja, NHIF itafutiwe mshindani

    Ni muda muafaka sasa kwa Serikali kuruhusu mifuko ya mafao kama NSSF na PSSSF kushindana katika soko. NSSF iongezewe wigo wa kuvutia wanachama toka Serikali, na PSSSF pia ipewe nafasi ya kuingiza wanachama toka sekta binafsi. Vivyo hivyo kuwapo kwa mfuko mmoja wa Bima ya Afya ya Taifa, ni kosa...
  20. Mamlaka Iringa shughulikieni ukosefu wa miundombinu ya vyoo Soko la Machinga

    Wafanyabiashara katika Soko la Machinga, lililopo kata ya Mlandege, mkoani Iringa, wanakabiliana na changamoto kubwa ya kukosa miundombinu ya vyoo. Hali hii inawalazimu kutumia eneo la nyuma ya soko, ambalo ni la makaburi, kama sehemu ya kujisaidia. Hii ni hali ya hatari kwa afya, kwani eneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…