Je, kama ninahitaji kuwa Motivational Speaker, ninahitaji kufanya nini? Hapa naulizia kama kuna kozi special au vitu vya kufanya.
==============
Salamu kwa watu wazima wote (kiumri), kwa wengine habari za saizi, kwa mashabiki wa Manchester United mjikande kwa maji ya Moto 7 sing'ori si...