Watoto wawili wamefariki dunia na mmoja kunusurika kifo, baada ya mama yao mzazi kuwapa sumu ambayo ni dawa aina ya Tiktik ya kuoshea mifugo, kisha na yeye kunywa.
Akizungumza leo Jumanne, Novemba 22,2022, Kamada wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Filemon Makungu amesema tukio hilo limetokea Novemba 20...
Kwa mujibu wa mdau mmoja, Disemba 12, 2019 aliona kwenye taarifa ya habari ya chombo kimoja wakitangaza kuwa familia moja imepoteza watoto wao wanne kwa kile kinachodaiwa kuwa walikula mihogo yenye sumu.
Aidha, mada hii imekuwa inazungumzwa sana mitaani, huku ikiacha mashaka makubwa kwa kuwa...
Nani alimuua Yasser Arrafat? Novemba 11, 2004 wapalestina walijikusanya vikundi vikundi kuomboleza kifo cha Mohammed Abdel Rahman Abdel Raouf al-Qudwa al-Husseini, al maarufu Yasser Arafat au kunya Abu Ammar. Huyu mwamba alililiwa machozi ya kweli kutokana na kuwaacha wapalestina katika kipindi...
Mwenyekiti wa jumuiya ya wakulima wa parachichi Tanzania (ASTA), Rebeca Hesewa amesema changamoto inayowakabili wakulima kunufaika na masoko ya nje ni kukosekana kwa ubora wa mazao wanayozalisha.
Kukosekana kwa ubora huo, alisema kunatokana na aina ya viuwatilifu wanavyotumia wakati wa...
Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada tu ya...
AGNES DORIS LIUNDI vs REPUBLIC (1978)
SOMA kesi hii ya AGNES DORIS LIUNDI ya mwaka 1978 alivyo waua watoto wake 3 na kubakiza taji liundi pekee.
Shared to you by
Mr. George Francis
0713736006
Tukio lenyewe lilitokea hapo majira ya asubuhi mnamo Februari 21, 1978. Ni baada ya kuambiwa na...
Great Thinkers
Kama wewe ni great thinker wa ukweli utakuwa umeshalingundua hilo.
Ngoja nitaje mambo machache
1. Rais akiingia madaraani miaka mitano ya kwanza ni kuunda serikali tumbua yule, weka huyu, komesha wafitini wake, badilisha wakuu wa mikoa /wilaya nk.
2. Kipindi cha pili miaka...
Sumu ya chakula (Food poisoning) ni tatizo linalosababishwa na ulaji wa chakula kichafu kilichobeba vimelea vya magonjwa hasa bakteria na virusi, au sumu zake.
Vimelea hivi pamoja na sumu zake huathiri mfumo wa chakula kwenye sehemu za utumbo mkubwa na mdogo kisha kusababisha Maumivu makali ya...
Mkazi wa Mtaa wa Igelegele kata ya Mahina wilaya ya Nyamagana, Kichere Mwita (48) anadaiwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujaribu kuwauwa watoto wa kambo kwa kuwawekea sumu kwenye chakula.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu Oktoba 3, mke wa Kichere, Deniza...
Kuna watu wako maalum KUUA NDOTO YAKO(Dream killer) , Ni aina ya watu wabaya ambao kazi yao ni kuhakikisha wewe hufanyi kitu na hufanikiwi kutimiza ndoto yako.
-
Ni watu gani?
-
1.Mtu mwenye imani ndogo.
Huyu ni mtu anaamini katika udogo, haamini kama unaweza kuwa na biashara kubwa, haamini kama...
Wachezaji 12 na wafanyakazi wa Klabu ya Manchester United, walipata maumivu ya tumbo Ijumaa iliyopita ambayo inadaiwa yalisababishwa na kula chakula chenye sumu wakati wa mchezo wao dhidi ya Sheriff Tiraspol katika UEFA Europa League.
United ilisafiri kwenda Nchini Moldovan kucheza mchezo huo...
MWANAMKE KUMWAMBIA MTOTO UKWELI SIO KUMPA SUMU!
Anaandika, Robert Heriel
Kuna kasumba mbaya Sana iliyoota mizizi ndani ya jamii kuwa Wanawake wanawapa sumu watoto wao ati wawachukie Baba zao. Jambo ambalo Kwa kiwango kikubwa ni uongo mkubwa.
Sio dhambi wala kosa Mama kumwambia m/watoto wake...
Kitongoji cha kibumbe, kata ya Kiwira wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya mke, mume na watoto wawili wakutwa wamefariki ndani ya nyumba na miili yao ikiwa imeharibika.
Mdogo wa marehemu (mke) kutoka Mbeya Mjini alisema zaidi ya wiki moja alikosa mawasiliano na familia hiyo ambao wote ni walimu, hivyo...
Naam hapa nazungumzia ile hali ya kumtongoza Mwanamke kwa leo tu la kula kimasihara yaani hit&run!
Yaani hii kitu ni hatari mno maana unajikuta unamtongoza Mwanamke ambaye sio type yako kwa lengo tu la kufake mapenzi lakini mapenzi yalivyokuwa ya ajabu unajikuta umempenda kweli hadi unahisi...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) yateketeza bidhaa zenye thamani ya takribani Sh Milioni 400 bidhaa hizo hazikidhi Viwango vya ubora na kuisha Muda wake wa matumizi. Kwa upande wa Vipodozi ni vile vyenye viambato sumu zisizofaa kwa matumizi kwa binadamu.
Dk. Kandida P. Shirima (Kaimu...
Jeshi la polisi limethibitisha kuuawa kwa risasi Nada Songo(45), mkazi wa wilaya ya Chemba, katika harakati za kumkamata baada ya kuwashambulia askari na wananchi kwa mishale iliyodhaniwa kuwa na sumu.
Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Martin Otieno amesema mtuhumiwa alifariki mara baada ya...
Kiwavi ni hatua ya ukuaji wa oda ya lepidoptera (wadudu kama vipepeo na nondo) ambao hutegemea majani kama chanzo kikuu cha chakula.
Hii ni hatua ya pili kwa ukuaji baada ya yai ambayo kwa baadae hugeuka kuwa bundo kisha mdudu kamili (kipepeo) ambaye huanza tena kutaga mayai mengine ili...
Walinzi waliokuwa kwenye doria katika Hifadhi ya Wanyamapori ya Kruger, wameripoti kugundua mzoga wa nyati, ambaye alionekana kuwekewa sumu, baada ya hapo walikuta Tai 100 na Fisi mmoja waliokufa kwa kuhisiwa kula mzoga huo
Tai wengine 20 waligunduliwa katika eneo la tukio wakiwa katika hali...
Bustani ya sumu iliyopo Alnwick huko Northumberland, Uingereza, ina zaidi ya mimea 100 yenye sumu, ya kulewesha na ya mihadarati. Na imeruhusiwa kutumiwa na umma yaani watu wote wanaruhusiwa kutembelea maeneo hayo ya bustani kwa kuzingatia taratibu na sheria za eneo hilo.
Ishara kwenye lango la...
Visa vya wanaume kufia guest wakiwa na "*viruka njia" wao vimekuwa vingi sana siku hizi.
Wengi wanahusisha vifo hivi na kuzidiwa kwa mwanaume na dozi bab kubwa ya 6 kwa 6 anayopewa na mdada. Inaweza kuwa kweli lkn siyo mara zote.
Nimewahi kupewa stori kuwa kuna mbinu inafanywa na wadada wahuni...