sweden

Sweden (; Swedish: Sverige [ˈsvæ̌rjɛ] (listen)), officially the Kingdom of Sweden (Swedish: Konungariket Sverige [ˈkôːnɵŋaˌriːkɛt ˈsvæ̌rjɛ] (listen)), is a Nordic country in Northern Europe. It borders Norway to the west and north, Finland to the east, and is connected to Denmark in the southwest by a bridge-tunnel across the Öresund Strait. At 450,295 square kilometres (173,860 sq mi), Sweden is the largest country in Northern Europe, the third-largest country in the European Union, and the fifth largest country in Europe. The capital city is Stockholm. Sweden has a total population of 10.4 million; and a low population density of 25 inhabitants per square kilometre (65/sq mi). 87% of Swedes live in urban areas, which cover 1.5% of the entire land area. The highest concentration is in the central and southern half of the country.
Sweden is part of the geographical area of Fennoscandia. The climate is in general mild for its northerly latitude due to significant maritime influence. In spite of the high latitude, Sweden often has warm continental summers, being located in between the North Atlantic, the Baltic Sea, and vast Russia. The general climate and environment vary significantly from the south and north due to the vast latitudal difference, and much of Sweden has reliably cold and snowy winters. Southern Sweden is predominantly agricultural, while the north is heavily forested and includes a portion of the Scandinavian Mountains.
Germanic peoples have inhabited Sweden since prehistoric times, emerging into history as the Geats (Swedish Götar) and Swedes (Svear) and constituting the sea peoples known as the Norsemen. An independent Swedish state emerged during the early 12th century. After the Black Death in the middle of the 14th century killed about a third of the Scandinavian population, the Hanseatic League threatened Scandinavia's culture, finances and languages. This led to the forming of the Scandinavian Kalmar Union in 1397, which Sweden left in 1523. When Sweden became involved in the Thirty Years War on the Reformist side, an expansion of its territories began and eventually the Swedish Empire was formed. This became one of the great powers of Europe until the early 18th century. Swedish territories outside the Scandinavian Peninsula were gradually lost during the 18th and 19th centuries, ending with the annexation of present-day Finland by Russia in 1809. The last war in which Sweden was directly involved was in 1814 when Norway was militarily forced into a personal union, which peacefully dissolved in 1905. Since then, Sweden has been at peace, maintaining an official policy of neutrality in foreign affairs. In 2014, Sweden celebrated 200 years of peace, breaking even Switzerland's record for peace. Sweden was formally neutral through both world wars and the Cold War, albeit Sweden has since 2009 openly moved towards cooperation with NATO.
Sweden is a constitutional monarchy and a parliamentary democracy, with legislative power vested in the 349-member unicameral Riksdag. It is a unitary state, currently divided into 21 counties and 290 municipalities. Sweden maintains a Nordic social welfare system that provides universal health care and tertiary education for its citizens. It has the world's eleventh-highest per capita income and ranks very highly in quality of life, health, education, protection of civil liberties, economic competitiveness, income equality, gender equality, prosperity and human development. Sweden joined the European Union on 1 January 1995, but has rejected NATO membership, as well as Eurozone membership following a referendum. It is also a member of the United Nations, the Nordic Council, the Council of Europe, the World Trade Organization and the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD).

View More On Wikipedia.org
  1. Sweden: Mwanaume achoma Quran nje ya msikiti siku ya Eid

    Mahakama moja nchini Sweden imeruhusu uchomaji wa Quran kufanyika nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm. ======= Soma zaidi. Two men stood outside Stockholm's central mosque on Wednesday and burned a Quran, following the go-ahead given by a Swedish court, to coincide with the beginning of...
  2. Toa Maoni yako Kuhusiana na Mchezo wa Koinange utakaoanza hivi karibuni nchini Sweden

    Yapi maoni yako kuhusiana na mchezo wa Koinange utakaoanza rasmi nchini Sweden hivi karibuni. Je unafaa kushiriki ama haufai kushiriki? Kwako habari hizi zinakupa picha gani?
  3. Kumekucha: Sweden yaanzisha mchezo wa ngono, kama soka tu. Kuwa mwenyeji mashindano ya mabingwa Ulaya

    Sweden imepitisha ngono kama sehemu ya Michezo na itaandaa na kuwa mwenyeji wa Mashindano ya kusimamia kucha Huku Ulaya.. My Take Uhuru wa Mwanadamu ukizidi unakuwa kufuru na upumbavu.. ======= Inadaiwa kuwa michezo hiyo inatarajiwa kuanza hivi karibuni ikiwa na kanuni na taratibu pamoja na...
  4. Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini

    Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini, Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni. Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha, Jina la raia huyu ni Elva Johansson. Na kazi yake ni WAZIRI WA...
  5. Quran yachomwa moto Sweden

    Mwanasiasa mmoja nchini Sweden kachoma quran mbele ya balozi wa uturuki. Kitendo hicho kimewakasirisha watu hasa RAIA wa uturuki mpaka kusababisha watu kuchoma Bendera ya sweden
  6. Urusi: Mwana kayataka, Finland na Sweden wamekidhi vigezo vya NATO

    Urusi alijaribu kuparamia Ukraine kisa hakutaka wajiunge NATO, sasa ndio kama kafungulia lango kuu, maana Finland na Sweden sasa wameruhusiwa kujiunga NATO, wamekidhi vigezo, ifahamike Finland ina mpaka na Urusi wenye kilomita 1,271.8 km, hiyo ni zaidi ya umbali wa Dar hadi Kigoma au Dar hadi...
  7. Finland, Sweden zile speed za kujiunga Nato zimeishia wapi?

    Salama wandugu, Mambo yalifanyika May sijui watu kujaza form tukasema hii comedy tu kwa sababu mwamba Putin hataki hayo yafanyike katika utawala wake, kwa sasa kimyaaaa watu wamepigwa stop na hakuna kinachoendelea kila mwanachama amesusia hayo maombi hata ukraine haiwezi kujiunga kamwe kamwe kamwe.
  8. Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden

    Wanabodi Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Afrika kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwingi zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na...
  9. Biden asaini Finland na Sweden kujiunga NATO, Putin aendelee kupuuzwa

    Marekani imekuwa mwanachama wa 23 wa NATO kukubali ombi la Sweden na Finland kujiunga na muungano. Licha ya vitisho kutoka Russia Finland na Sweden zimeendelea na mchakato wa kujiunga na NATO huku wakipuuza mkwala mbuzi kutoka Moscow.
  10. Putin: Urusi itajibu miundombinu ya NATO ikipelekwa Finland na Sweden

    Rais Vladimir Putin amesema Urusi itajibu ikiwa NATO itapeleka Vikosi na Miundombinu katika Mataifa ya Sweden na Finland baada ya kujiunga na Muungano huo Ameeleza, Nchi yake haina shida kama Sweden na Finland zinataka kujiunga NATO, Mataifa hayo lazima yaelewe kwamba hakukuwa na tishio awali...
  11. B

    Dkt. Philip Mpango ahudhuria mkutano wa mazingira Sweden

    02 June 2022 Stockholm, Sweden MKUTANO WA MAZINGIRA Video : Global TV online Makamu wa, rais wa Tanzania Mh. Philip Isdor Mpango amehudhuria mkutano wa kuadhimisha miaka 50 ya azimio la umoja wa mataifa la ulinzi wa mazingira ulioasisiwa kwa mara ya mwanzo mwaka 1972. Makamu wa rais amesema...
  12. Erdogan aweka masharti kwa Finland na Sweden kujiunga na NATO

    Sharti kuu alilpweka ni kwa nchi hizi mbili kuungana na Turkey katika kupambana na ugaidi. Mathalani, Erdogani anasema kuwa Sweden inahifadhi wapaiganaji wengi wa ki Kurdi pamoja na wafuasi wa Fethullah Gulen, ambaye anatuhumiwa kufanya jaribio la kuipunduka serikali ya Instanbul FUATILIA...
  13. Wananchi Sweden na Finland hawataki kuwa NATO

    Mapema mno wananchi waliohojiwa kweny mitaa ya miji mikuu ya nchi hizo mbili wamebainisha kuwa uamuzi wa kuomba uanachama wa NATO uliofanywa hapo juzi na viongozi wao si sehemu ya matakwa ya raia wa nchi hizo. Wamesema kuomba huko na iwapo hatimae watakuwa wanachama wa umoja huo utaondosha...
  14. Tunataka tuone Russia akimpiga Finland na Sweden

    Zaidi ya mara moja Russia imekua ikitoa vitisho kwamba ,endapo Finland na Sweden wakijaribu kuchukua hatua za kujiunga na NATO atatembeza dozi,cha ajabu jamaa wameshaanza process za awali kabisa ambapo mchakato huu huchukua mwaka mzima kumalizika. Tumeshuhudia England ikiwekeana mkataba wa...
  15. Urusi yatishia kutumia silaha za nyuklia ikiwa Sweden, Finland zitajiunga NATO

    Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Russia, Vladimir Putin Alhamisi ameionya NATO kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na ushirika wa kijeshi unaongozwa na Marekani, basi Russia itapeleka silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu katika eneo la Ulaya. Finland ambayo inashirikiana...
  16. Urusi yazipa onyo Finland na Sweden mpango wao wa kujiunga na NATO

    Urusi imetoa onyo kwa Finland na Sweden kuhusu mpango wao wa kujiunga na Nato, wakiamini kuwa mpango huo hakuwezi kuleta utulivu Ulaya. Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov amesema muungano huo unabaki kuwa kama 'chombo kinacholenga makabiliano'. Marekani inaamini nchi hizo zinaweza kuomba...
  17. S

    Waziri Mkuu wa Sweden akataa wito wa upinzani wa kutaka Sweden ijiunge NATO, asema hilo litaleta machafuko na kuharibu amani

    Waziri Mkuu wa Sweden Magdalena Andersson amekataa wito wa upinzani wa kuitaka Sweden kufikiria jambo la kujiunga NATO. Waziri Mkuu huyo amesema kufanya maombi ya kujiunga NATO kwa sasa kutaleta taharuki zaidi ktk eneo la Europe na kuhatarisha amani zaidi. Sweden kwa mara ya mwisho ilikuwa...
  18. Kampuni ya Disruptive Subdermals nchini Sweden yatengeneza chip itakayowezesha kuhifadhi taarifa za chanjo ya Corona ndani ya miwili wa binadamu

    Sweden, Kampuni ya DSurptive Subdemals nchini Sweden imetengeneza chip itakayoingizwa mwilini mwa binadamu ili kuweza kuhifadhi na kuhakiki taarifa za muhusika kuhusu kupokea chanjo dhidi ya ugonjwa wa Covid-19. Teknolojia hiyo inatumia NFC, ambayo pia hutumika kwenye mifumo mbali mbali ya...
  19. Story time: Amfuata mwanamke Sweden kutoka India kwa baiskeli

    Pradyumna Kumar "PK" Mahanandias alizaliwa mwaka 1949 katika kijiji kimoja huko India kwenye moja ya matabaka ya kihindi ya chini kabisa (untouchables) kwahiyo hakuwa na tumaini la kutoka kwenye maisha ya ubaguzi na umaskini. Ni kawaida Kwa wahindi kuita wanajimu watoto wanapozaliwa. Mnajimu...
  20. Mambo 10 yaliyopo Ulaya, hasa hasa Sweden, pengine kwako ni mageni, na ungependa kuyafahamu

    Wakuu, heshima kwenu.! Kama ilivyo ada, JF ni kisima cha habari, stories, ucheshi na mengineyo. Ili kuifanya JF iendelee kuwa kisima cha taarifa, naomba nami leo ku-share mawili matatu kuhusu mada tajwa hapo juu. 1) Kwa muda wote niliopo huku, miaka mitatu sasa, nimesafiri na kutembea maeneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…