Haya wadau, hivi karibuni kupitia usajili wa dirisha dogo tumeshuhudia timu za Simba na Yanga zikifanya usajili wa kuboresha timu zao.
Hapa nawaleta kwenu Baleke mchezaji wa Simba na Musonda wa Yanga ili tuwafananishe kwa takwimu na namna wanavyozutumikia timu zao.
Yalisemwa mengi na wahasimu...