Mbunge wa Kinondoni (CCM), Tarimba Abbas amesema Serikali haioni haja ya kuweka sharti la kisheria la watoto wakubwa kuwatunza wazazi wao wasiojiweza.
Akizungumza Bungeni Leo Jumatano Januari 28,2025 Tarimba amesema katika mataifa mengine kuna sheria za lazima kwa watoto kuwalea wazazi wao...