Hello wanafamilia,
Nimebainika kuwa na tatizo tajwa hapo juu. Hii ni baada ya kuteseka kwa muda mrefu kwa ukavu wa choo, constipation.
Katika medicine, tatizo linapokuwa sugu na hatarishi,dawa ni upasuaji unaohusisha kuukata/kuupunguza utumbo. Ninaomba uzoefu kwa mlioona ,kusikia au kupitia...