Sikuachi hadi mwisho wa dahari, nitakuwa nawe kwenye hali zote, raha na huzuni kwenye kusifiwa na kwenye kusimangwa nitakuwa nawe, kwa kuwa hakuna binadamu aliye mkamilifu nitasimama na wewe kwenye hayo mapungufu yako yakibinadamu uliyonayo,najua wengi wanapenda ukosee ili wakusimange na...