Wazungu karibu 70,000 wa Afrika Kusini wamejiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani kufuatia tangazo lililotolewa na na rais Donald Trump.
Hivi karibuni rais Donald Trump wa Marekani alisaini "Amri ya Kiutendaji" inayowaruhusu wazungu wa Afrika Kusini ambao wangependa kuhamia nchini Marekani kufuatia kile kinachotajwa kwamba ni ubaguzi wanaofanyiwa na serikali ya Afrika Kusini inayoongozwa na watu weusi ambayo inapanga kuwapokonya ardhi wanazomiliki na kuwagawia watu weusi wa Afrika Kusini.

Challenge Validation
www.ghanaweb.com