Karibu wazungu 70,000 wa Afrika Kusini wajiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani

Karibu wazungu 70,000 wa Afrika Kusini wajiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani

... waliojiandikisha wote huwezi kukuta wana chochote cha kupoteza Africa ya kusini, yaani ni malofa kama mimi waliopata fursa ya ukimbizi wa kiuchumi na wanaenda kubeba tu maboksi!
Kiuhalisia hao wazungu wa Afrika Kusini. Kama hamjui wanachotaka ni UBAGUZI WA RANGI urudi.

Maana:

  • Wanamiliki asilimia 70 ya ardhi ya Afrika Kusini na mashamba
  • Wanatumikisha watu weusi kwenye mashamba yao
  • Wanafanya vibarua.
  • Hawataki Kiingereza wala Xhosa wala Kizuli. Wanataka, Afrikaans, na mzungu akiongea Afrikaans hata kama.kaishia la nne , anapata kazi nzuri kwenye kampuni zao.

Hawawezi kupata favor hizo Ulaya, na Marekani ndio maana wanakatalia Afrika Kusini.

Tena ,Afrika Kusini ili.wawakomeshe, Wwfute URAIA PACHA, ili ukisepa umesepa.
 
Wazungu karibu 70,000 wa Afrika Kusini wamejiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani kufuatia tangazo lililotolewa na na rais Donald Trump.

Hivi karibuni rais Donald Trump wa Marekani alisaini "Amri ya Kiutendaji" inayowaruhusu wazungu wa Afrika Kusini ambao wangependa kuhamia nchini Marekani kufuatia kile kinachotajwa kwamba ni ubaguzi wanaofanyiwa na serikali ya Afrika Kusini inayoongozwa na watu weusi ambayo inapanga kuwapokonya ardhi wanazomiliki na kuwagawia watu weusi wa Afrika Kusini.

1742711332927.png
 
Back
Top Bottom