Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Kichwa chako kina mavi ndio maana umeitaja italyPalikua na haja gani ya kunichefua kwa kauli,hujala,una maisha magumu!?
Kichwa chako kina mavi ndio maana umeitaja italyPalikua na haja gani ya kunichefua kwa kauli,hujala,una maisha magumu!?
TrueSA hawezi kuwa na uchumi mkubwa kuwazidi. Luxembourg pekee ni very rich country in Europe
Muimu waende kwao uko WAZUNGU Wapumbavu sana Wameifanya Afrika kusini kuwa Taifa la kwanza kutoa Ruksa ya Ushoga !!!!Nchi nyingi za ulaya ngapi mkuu? South Afrika mbali na nchi za ulaya mashariki Hungry, Romania na Bulgaria nchi Gani anazizidi mkuu?
Hiyo ni Maagizo ya kutoka kwa kiongozi wa Trump almaarufu Elon Musk.Trump ni racist pure, kama ni sera iwe kwa wote hata blacks kuna wanao teswa sanaa wanaporwa mali zao.
Fanya uchunguzi zaid mkuu popote kwenye Shida vita kote kote ata Mauaji ya Rwanda Congo uko Haiti wazungu wanausika !!!!!Matatizo mengi duniani yanasababishwa na blacks. Hawezi kupeleka matatizo nchini mwake. Angalia Haiti etc.
Unaumwa ya GDP ya spain uifananishe na south Africa? Unaijua Luxembourg wewe au unaota? Per Capita income ya Luxembourg unajua kuwa inaongoza dunia?makaburu wasepe tuPortugal Spain Belgium Luxembourg Ireland
Tutaona baada ya miaka kadhaa kama mtu mweusi ana uwezo wa kujisimami licha ya elimu aliyopewaS.A inakwenda kubwa kama Zimbabwe
Ishu ya congo huifaham kiundani kaka. Si kipa kitu ni wazungu. Hao wazungu waliokamatwa juzi ni incidence minor sana, lakin si wasababishi wa hiyo vita.Fanya uchunguzi zaid mkuu popote kwenye Shida vita kote kote ata Mauaji ya Rwanda Congo uko Haiti wazungu wanausika !!!!!
pale Congo walikamatwa Wamarekani Walikuwa wanataka kusaidia kufanya Mapinduzi yote unayo yaona ni mipango ya Mzungu !!!!
ndiomana Afrika magharibi wanawatimua Wazungu wa Ufaransa ata Boko haramu imejulikana ni MZUNGU Mzungu kazi anafanya ni propaganda kuonesha Uislamu m' baya.. na kuonesha mtu mweusi awezi kujisimamia !!!!
kumbe wao ndio Wachochezi wakubwa apa tz tunao wasiasa Familia zao zipo kwa Wazungu wanawafadhili kila kitu adi masomo unategea nini kiki waka picha inakuja sisi atuwezi kujitawala kumbe Wanasiasa wetu wanawapiga Jeki kimya kimya na waziwazi
Wewe nawe ni mjinga ushoga unakunyima chakula mezani kwako? Ushoga upo hapa nchini vipi umepungua uzito wa mwili wako kisa mashoga? Au unahisi kukosa kwako akili chanzo ni hao mashoga? Ushoga unawazwa na wajinga kama wewe mtu makini hawezi hata kuweka neno ushoga kinywani mwake na kulizungumzia Kila mara.Muimu waende kwao uko WAZUNGU Wapumbavu sana Wameifanya Afrika kusini kuwa Taifa la kwanza kutoa Ruksa ya Ushoga !!!!
Waondoke wote Wakapeleke Usodoma kwao uko!!!!
awana umuimu wowote zaid ya kuaribu kizazi cha Afrika !!!!
uko Weusi wenzetu siku zote wanaishi kwenye vibanda vidogo vidogo awana aman yoyote kama wakimbiz tu!!!
sijaona wamesaidia nini zaid ya Ushoga kutamalaki vibaya sana,,,
Ni kama tumechanganyikiwa Leo hii rushwa IPO kwa kiwango Cha juu sana Afrika lakini lawama anapewa mzungu, elimu mbovu, fursa za ajira hakuna lawama anapewa mzungu, wizi wa kura za wananchi na kutofata utawala wa Sheria lawama anapewa mzungu. Very stupidIshu ya congo huifaham kiundani kaka. Si kipa kitu ni wazungu. Hao wazungu waliokamatwa juzi ni incidence minor sana, lakin si wasababishi wa hiyo vita.
Mtu mweusi huwa habebi failure zake anatafuta kisingizio, is why hatupigi hatua
Linajiandikia tu kama limekatwa kichwa hii ndiyo iliyokuwa inaamini kwenye Africanism hapo Zimbabwe Sasa baada ya mambo kugoma wakadababisha dada zao kuwa malayaUnaumwa ya GDP ya spain uifananishe na south Africa? Unaijua Luxembourg wewe au unaota? Per Capita income ya Luxembourg unajua kuwa inaongoza dunia?makaburu wasepe tu
We jamaaa utakuwa Congo uijui kabisa vip uwatenganishe Wazungu na mzozo wa kongo !!!!!Ishu ya congo huifaham kiundani kaka. Si kipa kitu ni wazungu. Hao wazungu waliokamatwa juzi ni incidence minor sana, lakin si wasababishi wa hiyo vita.
Mtu mweusi huwa habebi failure zake anatafuta kisingizio, is why hatupigi hatua
Kwaiyo Ushoga kwako sio Tatizo????Wewe nawe ni mjinga ushoga unakunyima chakula mezani kwako? Ushoga upo hapa nchini vipi umepungua uzito wa mwili wako kisa mashoga? Au unahisi kukosa kwako akili chanzo ni hao mashoga? Ushoga unawazwa na wajinga kama wewe mtu makini hawezi hata kuweka neno ushoga kinywani mwake na kulizungumzia Kila mara.
Wakusoma 12 😲😲🤫🤫Italy Ina GDP ya Dola trion 8 huku SA ikiwa na Dola bilioni 300 pekee. Acha kufos
Hayo mapato yanawasaidia Waafrika Kusini weusi?Afrika Kusini ipo katika mwelekeo mbaya sana.
Wazungu wengi, tena matajiri wamekuwa wakiihama South Afrika. Wengi wamehamia Australia, sasa na hawa wanahamia USA. Na mara nyingi ni wale matajiri.
Mapato ya Afrika Kusini yataanguka sana.
Hawa ndiyo utakuta ndio waliowekeza kwenye nchi nyingi za Afrika. Wakihamia Marekani inamaana mapato waliyokuwa wakiyapata nje ya Afrika Kusini ambayo yalikuwa yanaenda South Afrika, sasa yataenda USA.
Yatabakia makampuni ya waafrika kusini weusi ambao, wengi wao ni matapeli wakubwa. Hakuna atakayeagiza bidhaa toka kwenye makampuni hayo ya kitapeli.