Nilitegemea kujiandikisha 1. Online (kwa mtandao) na 2. Kwenda kwenye vituo vya kujiandikisha.
Sasa hadi wakati huu wa kupiga kura bado mtu analazimika kwenda mahali alipojiandikisha?!
Kutekelezwa kwa Na. 1, maana yake yote yangefanyika popote mtu alipo bila tatizo lolote; kwa hali ilivyo...