thread

  1. Formula 1 Official Thread

    Welcome to the Formula 1 official thread. Anything related to F1, you are welcome. Teams: 1. Red Bull Racing 2. Ferrari 3. Mercedes 4. Alpine 5. McLaren 6. Alfa Romeo 7. Haas F1 Team 8. Alpha Tauri 9. Aston Martin 10. Williams Timu yangu ni Red Bull Racing.
  2. Singida Big Stars Football Club | Special Thread

    Ndugu WanaJF, Karibuni kwenye uzi maalum wa klabu yetu ya Singida Big Stars. Kupitia uzi huu mtafahamu masuala mengi kuhusu klabu yetu ambayo ni mgeni wa Ligi Kuu Tanzania Bara na msimu huu ukiwa ni msimu wetu wa kwanza kushiriki Ligi Kuu ya NBC (2022/2022). HISTORIA Klabu ya Singida Big...
  3. Tabora special thread

    Ukiiangalia Tabora kwanzia igunga , nzega, uyui, tabora sikonge, urambo, kaliua, utagundua huu mji ni wa kipekee sana. Unaongoza kwa uzalishaji wa asali Tanzania nzima, unaongoza kwa uzalishaji wa karanga, unaongoza kwa uzalishaji wa maembe, unaongoza kwa uzalishaji wa ngozi, unaongoza kwa...
  4. Special Thread: Picha mbalimbali za Sensa 2022

    CEO wangu amehesabiwa
  5. Home workout special thread (Uzi maalumu wa Mazoezi unayoweza kufanyia nyumbani)

    Salaam Wakuu, Natumai nyote mpo salama. Nimeleta uzi huu kama sehemu ya kujihamasisha mimi na kuwahamasisha wengine kufanya mazoezi Soma: Umuhimu wa kufanya mazoezi Natambau wengi wetu tunatamani kuwa wafanya mazoezi, lakini kwa sababu mbalimbali tumekuwa tunakosa muda kwenda uwanjani au...
  6. Faida niliyopata kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JamiiForums

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF wenzangu, leo ningependa niandike manufaa, au faida niliyopata kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JF. Afu kama kuna mungine au wengine walionufaika na mtandao huu, basi walete...
  7. Mothers' Special Thread

    Hamjamboni wanajamvi? Natumai mpo salama kbsa. Huu uzi Ni maalum kwa ajili ya mama zetu.Tuchukue fursa hii kuwapongeza mama zetu kwa Yale mengi mazuri waliotufanyia mpaka tumefikia Hapa tulipo. Wapo wenzetu ambao kwa Bahati mbaya waliondokewa na mama zao wapendwa na Basi tunawaombea kwa Mungu...
  8. coded and horror photos thread!!!

    thread maalumu kwa ajili ya horror photo za kusisumua na za zenye ujumbe
  9. P

    Moshi Co-operative University (MoCU)-special thread

    Uzi special kwaajili ya chuo pendwa Cha ushirika moshi,tuchangie uzuri ,udhaifu ,kozi zitolewazo,wahadhiri waliopo namna wanavotoa huduma kwa wanafunzi nk.Karibuni🙏
  10. D

    Bollywood | Special Thread

    Kwa wapenzi wa Bollywood na matawi yake tungejikusanya hapa kupeana mawili matatu
  11. Broken english "THREAD"

    huu ni uzi maalum wa kuongea broken english tuu. yesterday i will went to home. delete me people will download😎 jazieni zingine
  12. M

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ngorongoro Kati ya Serikali na Wamasai. Nini chanzo na hatma ya mzozo

    Habari ndugu Watanzania, kuna sintofahamu kubwa inayoendelea huko Ngorongoro katika jamii ya Wamasai kuwa na mgogoro na Serikali. Tuelimishane hapa kwenye huu Uzi kwa wale wenye uelewa wa huu mzozo na tuondoe sintofahamu iliyopo kwa Watanzania kuhusiana na huu mgogoro. JE, nini chanzo Cha...
  13. R

    Kalamashaka appreciation thread

    Pamoja na Tanzania kukubalika na wengi kwamba imeishikilia bendera ya rap ya Afrika Mashariki kwa historia yake yote, mchango wa hawa jamaa kwenye sanaa si wa kubeza. Saigon was in his bag on this one Vigeti pekee can flow with the best of them Haki kwa wana Ngorongoro na popote...
  14. University of Dodoma (UDOM) special Thread

    Full name: The University of Dodoma Shortform(s): Udom Founded: 2007 as State Huge University in the country Location: Dodoma Capital City Website: udom.ac.tz Mods please put this thing 📌 on this university thread Mambo mengi ya Chuo hiki yanapatikana kwenye link chini. Ndio maana...
  15. RS Berkane (The Oranges Boys) Special Thread

    RS Berkane Renaissance Sportive de Berkane (Arabic: النهضة الرياضية البركانية) commonly known as Nahdat Berkane or RS Berkane for short, is a Moroccan sports club based in Berkane, Morocco. The club's football team is currently playing in the first division of Moroccan championship Botola. The...
  16. TUBONGE KIUME: Uzi maalumu wa Kijiwe cha Wanaume

    Habarini za muda huu wakuu, Leo nimeona tuzungumze jambo moja hasa kwa sisi WANAUME. Nimeanzisha thread hii kwa ajili ya sisi kujadili "mambo yetu" kwa lengo la kufundishana, kuhabarishana, kuonyana na kuelekezana kadiri ya "miiko ya jinsi ya kiumeni" Najua kuna watu wataniona mtu wa ajabu...
  17. Special Thread: Batle la picha miaka ya 90 na sasa

    Salaam wakuu, Nimeleta uzi huu uwe maalumu kwa ajili ya kujikumbushia kwa picha hali ya mambo mbalimbali yalivyokuwa miaka ya 90 na yalivyobadilika kwa sasa. Wale wazee wenzangu tutiririke watoto wajue tulikotoka
  18. Mnaoanzisha thread na kuwaita watz wenzenu wajinga mnajitambua kweli?

    Mara nyingi mtu akipata Mafanikio kidogo tu anaanza dharau na kuwaona ambao hawajafanikiwa kuwa ni wajinga Kwanza vijana wa Tz wanapambana sana sema sera Mbovu ndo zinawarudisha nyuma . Mtu anaishi Maisha yake hajakuomba chakula wala unga then unamuita Mjinga huu Ni upuuzi . Mtu unasikia...
  19. Thread number 2 Hassara Ya Urusi kwenye Vita Ya Ukraine

    Uzi wa awali ulieleza jinsi Urusi alivyopoteza, Vitani ila huu utaangalia Uchumi na uwekezaji MAUZO Mauzo nje yameshuka kwa asilimia 30 tokea amewekwa vikwazo Hungary imesitisha uingizaji wa mafuta Ya Urusi kwa asilimia 20% Ufaransa imepunguza utegemezi wa mafuta ya Urusi Kwa asilimia 30%...
  20. Special thread: Missing someone with special memories in your life

    As humans, we naturally connect to people and build bonds and relationships over time. We can miss people for a multitude of reasons, but one thing is for sure, once that emotion arises, it can be hard to shake it. When you miss someone there's no denying that raw emotion. You can't get it out...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…