Nimeangalia mechi ya man city vs man utd kiukweli hatujapata burudani ya kutosha kutokana na kwamba kuna baadhi ya wachezaji ambao walitumikia timu zao za taifa hawakuwepo kwa sababu ya kupumzishwa au bado hawajaripoti kambini.
Rodri, Foden, Walker hawakuwepo hata De bryune kaingia baadae sana...